Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

Fikiria chama kinaona muuaji na mporaji ndiye anayefaa kuwa kiongozi wao!! Bila shaka wamevutiwa na uovu, ndiyo manataka mwovu awaongoze katika kutenda na kuishi na uovu.

CCM ni alama ya uovu, laana na ushetani, ndiyo maana wapo radhi na wanafurahia wanapokuwa na kiongozi mwovu zaidi anayeweza kuujenga na kuupalilia uovu.
 
Kuna mambo wala hayana haja ya kujadili sana, sometimes tuwe serious maisha kukomboa familia na kuondoa umasikini, kila kauli za wanasiasa watu mnataka kufanya mada ili ilete faida gani sasa
 
 

Attachments

  • 2B6A3C4E-B994-4CA0-BDF9-E708B6914C55.jpeg
    89.5 KB · Views: 2
Ndugu wanajf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Leo nachukua fursa hii kupongeza kauli ya Mzee Kinana, ila pia naomba kutana naye.

Ni kweli mimi sio MwanaCCM, ila pale amefanya vizuri lazima kupongezwa, mzee ametoa kauli ambayo hakumtaja yeyote ila ujumbe wake upo wazi na mafunzo makubwa ndani yake.

Nakushukuru sana Mzee kinana ila kura yangu CCM sitowapa.

Thanks
 
Nini sana
Mbona kama unajiongelesha mwenyenyewe
 
Kinana anajipya gani? Labda karepent tu nayeye kwasababu nchi hii hakuna msafi na mwenye hekima na busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…