Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake



Kwa maana hiyo kashfa zilizowahi kutokea zilifanywa na watu wasiokula viapo?
 
Producer wewe, Muimbaji wewe, Dj wewe, mchezaji wewe! Ukimaliza zima mziki mwenyewe.
 

Huo ni ukweli usioingika, hata sisis wa kijiwe cha JF hakuna tunaeboshana nae anaepinga uwekezaji, au mnasemaje jamani?

Hapa JF tunachokiona ni watu whawaelewi sheria ya makubaliano ya nchi mbili IGA, sheria za nchi husika HGA na sheria utendaji wa kazi.

Tupo katika kusomeshana, lakini wengi wameanza kuelewa ilichobaki ni kama ada ya vijiwe vyote lazima uwepo ubishi ndiyo kijiwe kinoge.


Tumekuelewa sana Kinana, kama hapa JF ambae hajakuelewa tupo tuliostaafu tusio na kazi za maana, tutasomeshana nao 24/7 ndiyo faraja yetu hiyo ya kupoteza muda.

Siku hizi JF haipo borig kama kipindi cha bwana yule. alitupiga pini wote. mpaka max wakamzushia makesi.


Wewe max nae na wafanyakazi wako muache kuwa biased, mkiona hoja imeelemea upinzani msifite fite nyuzi zetu, wacheni kijiwe kinoge. Mnakuwa kama magufuli?
 
 
Watanzania wanaapa daily
Tunawaona na wakingia kwenye
Sekta wanapiga
Tena wanashika misaafu nq mabiblia

Ova
Viapo ni formalities tu kwa baadhi ya watu !!
Lakini huwa wanapata taabu sana ya kuishi bila kuwa na peace of mind katika maisha yao yote !!

Utawaona wapo kwenye magari na majumba ya kifahari lakini mioyoni mwao kunafukuta moto kila kukicha !!

Hiyo ndio adhabu aitoayo Mungu wa mbinguni kwa waliochupa mipaka !!!

Beware Karma is just around the corner 🙏🙏🙏
 
Auze Bandari Ili iwaje?
 
Kama mwendazake au siyo?
 
Mwanasiasa akiingia ndan kwako akakuamkia "za jion" toka nje kwanza uthitishe ni jion kweli? Kitu cha kweli mwanasiasa anachoweza kusema ni jina lake tu.
1. Rais alisaini sasa wanasema yupo Tayari kuwasililiza wananchi maoni yao.
Alisaini usiku?

2. Wabunge zaidi ya 300 wamepitisha mkataba leo Kinana anasema tunawasilikiza wananchi.

3. Kinana atakaye mkataba huu ulitokea kwa wananchi kwa neema tu.

4. Rais kukaa kimya ni aibu ajiuzulu na serikali yake.
 
 
Kwa hiyo mzee baba Kinana hili la DPW lina maslahi kwa Taifa au kwa wachache ndani ya CCM???
Mzee baba tunaomba ccm mfahamu kuwa tunajizuia kuandika mengi kuhusu mkataba huu, kwani za 'ndani kabisa' tunazo mkuu baba!
 
Ndo ameshakiuka kiapo sasa!!!

Mkataba Hadi wauza dagaa wanao, mnakwepea wapi anguko Hilo?

Wanaonyeshana sahihi ya sa100 na kushangaa!!!!
 
Kama watu kula viapo ingekuwa ndio kila kitu ripoti ya CAG wala isingekuwa hivyo na Mkapa asingejiuzia Kiwira...
 
huyu na yule aliyemwita rais Mungu hawana tofauti, rais ni binadamu kama binadamu wengine. Katika vitabu vya Mkapa na Mwinyi wote wametubu na kueleza makosa waliyofanya wakiwa madarakani kwani no hawakula viapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…