Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyo aliyeingia mikataba ya kijinga na matokeo yake nchi inashitakiwa na kushindwa yeye hakula kiapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
78, hao wapo hapo kulinda masilahi binafsi ya JKKinana ana umri gani?
Wasira ana umri gani?
CCM hakuna vijana wa kuchukua nafasi za hawa ambao walishalitumikia taifa?
Huyo aliyeingia mikataba mibovu badala yake tunalipa yeye hakuapa?Yawezekana ni kweli lakini pia Raisi hawezi jua Mambo yote so kunauwezekani wa kukosea. Akiwa anashauriwa jambo basi asikilize huenda ashakosea
MTU wa miaka 78 anatuongaza kuelekea wapi?78, hao wapo hapo kulinda masilahi binafsi ya JK
Nimependa tamko hili.Lakini kiongozi wa Chama ni kama amechekelewa kidogo kutoa muongozo huo.Ilikuwa vema angeelekeza haya kabla ya Bunge kuidhinisha mkataba.
hawa ni vijana wa JKMTU wa miaka 78 anatuongaza kuelekea wapi?
Ni wazo gani la kimaendeleo ambalo alikosa nafasi ya kulitoa alipokua waziri Hadi tutegemee alilete Sasa?
Wasira atakua na wazo gani jipya ambalo hakutuambia tangu aanze uongozi miaka ya sabini. Sana Sana anatuongaza twende huko anakoelekea kwa Sasa. Maandiko yanasema miaka yetu ni sabini hapa duniani, ikizidi Sana Ni sabini na Saba, baada ya hapo......
Nimependa tamko hili.Lakini kiongozi wa Chama ni kama amechekelewa kidogo kutoa muongozo huo.Ilikuwa vema angeelekeza haya kabla ya Bunge kuidhinisha mkataba.
Nimependa tamko hili.Lakini kiongozi wa Chama ni kama amechekelewa kidogo kutoa muongozo huo.Ilikuwa vema angeelekeza haya kabla ya Bunge kuidhinisha mkataba.
Bunge lipo sehemu gani?Nimependa tamko hili.Lakini kiongozi wa Chama ni kama amechekelewa kidogo kutoa muongozo huo.Ilikuwa vema angeelekeza haya kabla ya Bunge kuidhinisha mkataba.
Nani huyo?Huyo aliyeingia mikataba ya kijinga na matokeo yake nchi inashitakiwa na kushindwa yeye hakula kiapo?
SenselessNonsense.
Sijasoma content bali heading tu, nadiriki kusema.. Hawez enda kinyume wala kupinga baadhi ya vifungu.CCM njooni mmsikilize Kinana kuna jambo la maana.
View attachment 2700223
---
Kinana avunja ukimya kuhusu Bandari
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdurhaman Kinana, amezungumzia mjadala wa uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam huku akiweka wazi kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na Serikali anayoingoza haiwezi kuuza bandari hiyo na kuhoji Rais auze bandari kwa maslahi yapi.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Mkendo Musoma Mjini Kinana alianza kwa kueleza kuwa liko jambo la bandari linazungumzwa na mjadala mkubwa, unaendelea kuwa mrefu, mjadala mpana.
“Nataka niwahakikishie msiamini kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyekula kiapo eti atafanya jambo ambalo halina maslahi na nchi. Haiwezi kutokea, Rais ambaye tangu amechukua usukani amefanya mambo mengi mazuri, kwa nini aende kuuza bandari, sababu ni
ipi?
Ili apate nini, ili iweje na ukisikiliza huu mjadala usikilizeni kwa makini na mmeshausikiliza, wote tunaoutetea, wanaopinga pamoja na wanaokosoa hakuna anayesema kwamba kusiwe na uwekezaji hata mmoja kwani wote wanakubali kwamba kuna haja ya kuwekeza na lengo ni moja tu kuongeza ufanisi na kuongeza mapato.
“Serikali imesema tunakwenda kufanya kazi hii kwa nia njema ya kuongeza ufanisi, kuongeza mapato tuweze kufanya shughuli nyngi zaidi za maendeleo. Wamejitokeza watu wameanza kuhoji, wako wanaohoji kwa nia njema ya kujenga ya uzalendo, hatuwezi kusema kila anayehoji anania mbaya,” alisema.
Anachofanya Rais ni kuwa mtulivu kusikiliza kila hoja kuchambua kila hoja, kutathimini kila hoja, ili muda utakapofika tupate uwekezaji ulio bora zaidi kwa manufaa ya Watanzania. wako waliopeleka mjadala huu katika udini, wengine katika muungano Bara na Visiwani, hakukua na sababu,”alisema Kinana.
Alifafanua kuwa uwekezaji huo ni wa kiuchumi hivyo unatakiwa kujadili kwa hoja,hoja itasikilizwa, hoja yako itajibiwa , pale itakapotakiwa kufanyiwa kazi itafanyiwa kazi kwa maslahi mapana ya nchi.
“Sasa niseme yafuatakayo hakuna anayekataa ,wale wanaopinga na wanaonga mkono, hakuna anayekataa uwekezaji , Serikali inaendelea kusiliza hoja ,maoni na hofu zinazotolewa.
“Chama chetu kimeagiza kwamba wananchi wasikilizwe kwa kila ngazi , kwa kila sehemu, Serikali inaendelea kusikiliza.Sina mashaka hata kidogo kwamba Rais atatoa uamuzi wa busara katika jambo hili na hata uamuzi huualipoufikia kuwekeza katika Bandari ni kwa sababu moja tu ya maslahi mapana ya watanzania na nchi sio kwasababu nyingine yoyote.
“Najua tuko watu wengi tuko vyama vingi ndio wakati muafaka sasa likitokea jambo kila mtu anatatafuta namna ya kulitengeneza kwa namna ambayo linakuwa na manufaa kwake. Kwa hiyo ukipiga kelele sana nchi imeuzwa …imeuzwa …imeuzwa ungependa watu waamini kwamba imeuzwa.
"Hakuna bandari inauzwa, inauzwaje? kwanini iuzwe ?Bandari ya Musoma hapa inauzwaje”, kwa bei ipi ? kwasababu ipi? Ili iwe vipi hakuna sababu, naomba tuwe watulivu. Naomba tuwe na imani na Serikali yetu tuwe na imani na Rais wetu ,tumuamini kwamba kila jambo analofanya ni kwa maslahi ya Taifa letu.
Sasa mpaka Katia Saini mkataba kuukubali ,,,,si ameona una maslahi au,,lakini wananchi tumesema nooo ,Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka.
Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya jambo ambalo Halima maslahi Kwa Nchi.
My Take
Hakuna wa kurudisha Wala kukwamisha uwekezaji bandarini
=======
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)-Bara, Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania kutokuwa na wasiwasi juu ya mkataba wa ushirikiano baina ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai kwani Rais Samia Suluhu Hassan, ameapa kuilinda na kuitetea Katiba kwa maslahi yao.
Kinana amesema hayo leo Jumatano, Julai 26, 2023 wakati akihutibia mkutano wa hadhara, Musoma Mjini, Mkoa wa Mara akiwa kwenye mwendelezo wa ziara zake katika mikoa ya Dodoma, Manyara, Mara, Simiyu na Tabora.
“Kuna mjadala mkuuuuubwa na mpana wa bandari, mjadala huu umefika wakati unawachanganya Watanzania. Wamuamini nani. Nataka niwahakikishie, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake.
“Kama Rais tangu achukue nchi (Machi 19, 2021), amefanya yote haya, kwa nini auze nchi, ili iweje? lakini mkisikiliza mjadala, wote wanaotetea, wanaoupinga, wanaoukosoa hakuna anayesema tusifanye uwekezaji, hata mmoja, wote wanakubali kuna haja ya kuwekeza ili kuongeza ufanisi na kuongeza mapato,” amesema Kinana
Kinana amesema, Serikali imesema ipatokea kila ushauri na CCM imeitaka Serikali isikilize ushauri, maoni na hoja zinazotolewa. Haya yote yatafanyiwa kazi. Haiwezekani rais akapuuza yote haya na mmemuona Rais tangu mjadala umeanza, amekaa kimya, anapigwa vita.
“Kamanda mzuri wa vita si yule vita inapokuwa hivi anabadili mbinu na mikakati, kamanda mzuri ni yule anayetulia. Nahodha mzuri wa chambo si yule anayeyumbishwa bali anatulia na kuona anakabiliana nayo viti,” amesema Kinana.
Waliouza Loliondo na mikataba ya hovyo kwenye madini na gesi hawakula kiapo? Majizi ni majizi tu.Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka.
Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya jambo ambalo Halima maslahi Kwa Nchi.
My Take
Hakuna wa kurudisha Wala kukwamisha uwekezaji bandarini
=======
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)-Bara, Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania kutokuwa na wasiwasi juu ya mkataba wa ushirikiano baina ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai kwani Rais Samia Suluhu Hassan, ameapa kuilinda na kuitetea Katiba kwa maslahi yao.
Kinana amesema hayo leo Jumatano, Julai 26, 2023 wakati akihutibia mkutano wa hadhara, Musoma Mjini, Mkoa wa Mara akiwa kwenye mwendelezo wa ziara zake katika mikoa ya Dodoma, Manyara, Mara, Simiyu na Tabora.
“Kuna mjadala mkuuuuubwa na mpana wa bandari, mjadala huu umefika wakati unawachanganya Watanzania. Wamuamini nani. Nataka niwahakikishie, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake.
“Kama Rais tangu achukue nchi (Machi 19, 2021), amefanya yote haya, kwa nini auze nchi, ili iweje? lakini mkisikiliza mjadala, wote wanaotetea, wanaoupinga, wanaoukosoa hakuna anayesema tusifanye uwekezaji, hata mmoja, wote wanakubali kuna haja ya kuwekeza ili kuongeza ufanisi na kuongeza mapato,” amesema Kinana
Kinana amesema, Serikali imesema ipatokea kila ushauri na CCM imeitaka Serikali isikilize ushauri, maoni na hoja zinazotolewa. Haya yote yatafanyiwa kazi. Haiwezekani rais akapuuza yote haya na mmemuona Rais tangu mjadala umeanza, amekaa kimya, anapigwa vita.
“Kamanda mzuri wa vita si yule vita inapokuwa hivi anabadili mbinu na mikakati, kamanda mzuri ni yule anayetulia. Nahodha mzuri wa chambo si yule anayeyumbishwa bali anatulia na kuona anakabiliana nayo viti,” amesema Kinana.
Akina nani hao? Kwani shida ni kuuza au kuuza Kwa maslahi ya Nchi?Waliouza Loliondo na mikataba ya hovyo kwenye madini na gesi hawakula kiapo? Majizi ni majizi tu.
Yaliyotokea huko nyuma viapo havikuwepo.unaweza kula kiapo lakini kwa kuwa na uelewa mdogo na kutokuumiza kichwa ukasini hovyo hovyoBaada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka.
Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya jambo ambalo Halima maslahi Kwa Nchi.
My Take
Hakuna wa kurudisha Wala kukwamisha uwekezaji bandarini
=======
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)-Bara, Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania kutokuwa na wasiwasi juu ya mkataba wa ushirikiano baina ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai kwani Rais Samia Suluhu Hassan, ameapa kuilinda na kuitetea Katiba kwa maslahi yao.
Kinana amesema hayo leo Jumatano, Julai 26, 2023 wakati akihutibia mkutano wa hadhara, Musoma Mjini, Mkoa wa Mara akiwa kwenye mwendelezo wa ziara zake katika mikoa ya Dodoma, Manyara, Mara, Simiyu na Tabora.
“Kuna mjadala mkuuuuubwa na mpana wa bandari, mjadala huu umefika wakati unawachanganya Watanzania. Wamuamini nani. Nataka niwahakikishie, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake.
“Kama Rais tangu achukue nchi (Machi 19, 2021), amefanya yote haya, kwa nini auze nchi, ili iweje? lakini mkisikiliza mjadala, wote wanaotetea, wanaoupinga, wanaoukosoa hakuna anayesema tusifanye uwekezaji, hata mmoja, wote wanakubali kuna haja ya kuwekeza ili kuongeza ufanisi na kuongeza mapato,” amesema Kinana
Kinana amesema, Serikali imesema ipatokea kila ushauri na CCM imeitaka Serikali isikilize ushauri, maoni na hoja zinazotolewa. Haya yote yatafanyiwa kazi. Haiwezekani rais akapuuza yote haya na mmemuona Rais tangu mjadala umeanza, amekaa kimya, anapigwa vita.
“Kamanda mzuri wa vita si yule vita inapokuwa hivi anabadili mbinu na mikakati, kamanda mzuri ni yule anayetulia. Nahodha mzuri wa chambo si yule anayeyumbishwa bali anatulia na kuona anakabiliana nayo viti,” amesema Kinana.
Anauwawa mnyama mpole tena mkubwa mwenye uzito wa kilo 7000 kwa ajili ya pembe zake zenye kilo 30 !!!!! 🙄🙄🙄. Wenye kazi hizo Mungu wa mbinguni anawaona ! Na hawatapata peace of mind katika maisha yao yote wakiwa na hizo pesa haramu !!!Biashara ya meno ya tembo ni haramu
Yapi hayo? Rais auze Bandari Ili iwaje?Yaliyotokea huko nyuma viapo havikuwepo.unaweza kula kiapo lakini kwa kuwa na uelewa mdogo na kutokuumiza kichwa ukasini hovyo hovyo