Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Kwan inakuaje hadi vinaingia mtaani wakati serikali mnasema inamkono mkali
 
Hiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana.
NB: Vijana wanapoteza marinda bila kupenda
Nmekunywa vitatu sijazima Jana inategemea na kichwa
 
Dukani kwa Mangi wanauza kwa kijiko (table spoon) = 200/= TZS
Maafisa afya wapo, maafisa biashara wapo, watendaji mitaa wapo, lakini biashara ya pombe kali za kupima madukani imeenea nchi nzima.
 
Kuna jamaa ni dereva wa gari la kusambaza mikate anaishi hapa mtaani yani anaiba mikate anapeleka dukani kwa malipo ya double kick, yan amekonda kama mzuka nusura atafanana panya
Duh DKK ni balaa kumbe😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…