Tatizo lenu mnachukua ka sentensi kamoja ka Rais mnaanzishia hoja ndio maana mnazidi kupwaya
Rais alikuwa anazungumzia kuwapiga bei wale walio ji lockdown wakati wa Corona akimaanisha Nchi jirani
Kuna ubaya gani kuhamasisha Raia wako kuwapiga bei ya Juu nchi za jirani ili kuimarisha uchumi wao?
Kwa akili zako za kimbuzimbuzi unafikiri bei zikipanda huko nchi jirani wew huku nyumbani utabaki salama? Au nyie CCM mna maduka yenu special kuwauzia Watanganyika bei elekeziTatizo lenu mnachukua ka sentensi kamoja ka Rais mnaanzishia hoja ndio maana mnazidi kupwaya
Rais alikuwa anazungumzia kuwapiga bei wale walio ji lockdown wakati wa Corona akimaanisha Nchi jirani
Kuna ubaya gani kuhamasisha Raia wako kuwapiga bei ya Juu nchi za jirani ili kuimarisha uchumi wao?
....ongezea na kauli ya korosho.Ukiwa na hela unaweza hata nunua gunia kwa 1m.
Sasa waache wakulima waingie mtegoni wao watakuja kuuziwa gunia kwa 2m.
Nawashauri watumie busara,wasije ingia mtegoni kwa kauli hizi.
Mfano mzuri ni bei za sukari na upatikanaji wake.
Bwana Mapigano CR bora kuwahi kutokea katika chuo cha SUA, sina cha kuongea hapo.
Mbona wewe hujachangia unajuaje kua nitakua mibaya?Michango mizuri sana ya wadau.
Ngoja nisubiri vilaza waje niwasikie nawao watasemaje.
Anashindwa kuelewa kinachofanyika ni kuwanufaisha wafanyabiashara na madalali, kwa sababu mkulima anakuwa ameshauza mazao tangu yakiwa shambani kwa bei cheee...Rais anashindwa kuelewa kwamba wakulima wengi Tanzania wanakuwa wameshauza mazao yao tangu yakiwa shamba.
Kwani ilikuwa ni lazima aseme vitu obvious?Tatizo lenu mnachukua ka sentensi kamoja ka Rais mnaanzishia hoja ndio maana mnazidi kupwaya
Rais alikuwa anazungumzia kuwapiga bei wale walio ji lockdown wakati wa Corona akimaanisha Nchi jirani
Kuna ubaya gani kuhamasisha Raia wako kuwapiga bei ya Juu nchi za jirani ili kuimarisha uchumi wao?
ukitaka ku make sense kwenye kauli za viongozi chini ya awamu hii utasubiri sana mkuu!Bei za Vyakula zimewahi watoa wakuu wengi wa nchi baada ya kupanda na kushindwa kudhibitiwa.
Tumewahi kushuhudia hata bei ya Mkate tuu imeshawahi kuleta matatizo kwa tawala mbalimbali.
Je, hii kauli ya mheshimiwa Rais Magufuli anaelewa madhara yake iwapo itafuatwa?
View attachment 1464087
Kwa akili zako za kimbuzimbuzi unafikiri bei zikipanda huko nchi jirani wew huku nyumbani utabaki salama? Au nyie CCM mna maduka yenu special kuwauzia Watanganyika bei elekezi
Kuna nyumbu wanapinga kila jambo.Mbona wewe hujachangia unajuaje kua nitakua mibaya?
Kuna ubaya gani kuhamasisha Raia wako kuwapiga bei ya Juu nchi za jirani ili kuimarisha uchumi wao?
Ungekuwa na japo chembe ya akili ungeelewa. Tatizo upraize team umewajaa hadi mnaonekana magashoKwa hiyo zile kelele zenu za kuwapatia Wakulima bei nzuri za mazao ni za kinafiki sio?
Ungekuwa na japo chembe ya akili ungeelewa. Tatizo upraize team umewajaa hadi mnaonekana magasho
Bei ya mkulima huwa haina uhakika inategemea na mazao amepataje.....Swali kwa mtoa mada , ushawahi kulima? Unajua adha ya kulima? Acha kuanzisha nyuzi za ajabu , wakulima wanaumia sana kwa bei zikiwa chini, wacha watu wapandishe bei wafaidi matunda ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app