Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

[emoji1][emoji1]
 
Lile ni jimbo la waislamu na walijaribu mzuka wa kidini ila aliwapiga kichapo cha mbwa, leo masheikh wa bongo wanamshobokea kama mtume kisa kavamia Ukraine wanadhani wamekomoa Marekani.
Nikisema ni Jamhuri nitakuwa sijakosea.
Urusi sio Taifa la dini Moja.
Jamhuri kama Dagestan,
Chechen,
Bashkortostan,
Tartarstan

Ni sehemu zenye Waislamu wengi na pia ni Warusi,
hivi wajir ikitaka kujitenga na Kenya ikalazimika kutumia nguvu kuirudisha na Tena ikajaza extremists Muslim, tuseme Kenya inapigana na Waislamu.

Lakini pia zipo Jamhuri zenye wabudha wengi zaidi.

Na zipo zenye wakristo wengi zaidi.
Lipo Jimbo lenye Wayaudi wengi na linaitwa JEWS AUTONOMOUS REGION.

Hivyo vita ya Chechnya haiusiani na Uislamu na Waislam
 
Lile ni jimbo la waislamu na walijaribu mzuka wa kidini ila aliwapiga kichapo cha mbwa, leo masheikh wa bongo wanamshobokea kama mtume kisa kavamia Ukraine wanadhani wamekomoa Marekani.
kijana naona mara ya pili hii umeshikilia masheikh wa kibongo wanamshobokea Putin

hebu tupe ushahidi wa uyasemayo jpo sheikh mmoja tuu
 
Jamaa kafilisika hoja, anataka kuingiza udini ili kutengeneza chuki dhidi ya Putin😀😀😀

Anataka kutuletea stori zao za Kenya na Somalia hapa
 
kijana naona mara ya pili hii umeshikilia masheikh wa kibongo wanamshobokea Putin

hebu tupe ushahidi wa uyasemayo jpo sheikh mmoja tuu
Subiri nita upload humu video inayosambaa kwenye mitandao ya Whatsapp, anatia huruma.
 
Sasa mbona waislamu walipiga makelele kwenye hivyo vita, ila Putin huwa namkubali sana kwenye vita dhidi ya magaidi, yeye huwa habembelelezi, hupiga bila kuchagua wapi anapiga.
 
Kamanda wao Magomed ... Ashakufa huko Ukraine
 
Ni dalili ya kushindwa vita, Putini yalikuwa ni majigabo tu hakuwa na strategies, miscalculated kwa mujibu wa Biden

Wale wafuasi wa Putini sasa wanashuhudia hii aibu
Putin alisema ataingia Ukraine kwa operation maalumu. Hiyo operation ni ya kijeshi. Niambie ndugu, hiyo operation inaitwaje na malengo yake ni yapi?
 
Wataelewa tu
Nalog off
 
Ikishageuka jangwa itakuongezea kipato au cheo?
Kuna hotuba ipo You tube wakati Putin anaitangazia Taifa lake na dunia kwa ujumla na maazimio ya kuingia Ukraine na haswa sababu zilizopelekea ni zipi na lengo lake ni lipi!

Amezungumza kwa takribani dakika 30+
Ni jukumu la mtu kutenga muda na kuisikiliza. Simtetei Putin. Lakini wengi wao humu wanaandika kitu tofauti kabisa na Putin alichokiwasilisha.
 
Yes na ule Mji wao wa Grozny ni moja ya Majiji mazuri sana Russia yaani umejengwa vkzjri sana mwa sasa huwezi amini mama ulibomolewa kwa Vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…