Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
-
- #61
Yaani wewe waleta stori za tv wakati mie ninakuwekea habari ya toka Reuters, au Reuters inamilikiwa na Russia?Huwa unatazama TV gani mkuu. Kwa habari za nje?
Uyu jamaa kiongozi wao Ni hafai,Ukisoma maneno yake huyo jenerali ktk kiingereza (hapo chini, maandishi yalokolezwa) utatambua kuwa huyu kamanda ni nyoko aisee. Yaani ni mtu wa vita tu na hana hata chembe ya huruma na adui vitani.[emoji15][emoji3064][emoji15]
Sawasawa...Vikwazo vinawaathiri sasahivi. Wewe nukuu hizo halafu wiki mbili zajazo tutakutana hapahapa..Yaani wewe waleta stori za tv wakati mie ninakuwekea habari ya toka Reuters, au Reuters inamilikiwa na Russia?
Haya nakuongezea na taarifa hii toka FAO uone kama Russia ina njaa kama Tanzania
View attachment 2139216
Kabisa,Halafu huyo jamaa pamoja na kupenda vita hivyo lakini asili yake katoka familia ya kishua. Baba yake aliwahi kuwa rais wa Chechen, President Akhmad Kadyrov, akauawa mwaka 2004 akiwa madarakani.
Walipekeka lini msaada au wana mpango huo..Jamaa wanagawa chakula kwa raia wa Afghanistan mwaka jana. Endelea kusubiria wakose njaa
Russia planning to send humanitarian aid to Afghanistan -RIA cites foreign ministry
Russia is planning to send food and medicine to Afghanistan soon as humanitarian aid, the RIA news agency cited Russia's foreign ministry as saying on Monday.www.reuters.com
Kwann yupo kimya kama anaelekea kushinda ? Kwann asiendelee na kelele zake alizoanza nazo kuwa wapo km 9 kuingia Kyiv , je mpk leo hawajafika kyiv ?Baada Ya Vita Kuanza Mrusi Yupo Kimya Zaidi Kuliko Ukraine Ambae Kwa Sasa Ametapakaza Habari Za Kutunga
Wakijikusanya namna hii ni rahisi kuwachapa bomHawa jamaa wanaimani Kali Sana,
Katikati ya Vita wanasimama kuswali Kisha wanaendelea na mapambano
View attachment 2139205View attachment 2139206View attachment 2139207
Hawa misikiti yao Ni Kama kambi za kijeshi,Hao jamaa wote nchini nimajihad misimamo mikali niwataliban wakizungu
Afu sio yeye TU,Ameenda kulipa kisasi
Kisasi haki
[emoji3][emoji3][emoji3]Putin amruhusu kamanda amalize vita ili akavamie taifa lingine.
Iman au uchiz , hv huyo mtume ndo nawafundisha kushiriki vita vya kisiasa visivyowahusu?Hawa jamaa wanaimani Kali Sana,
Katikati ya Vita wanasimama kuswali Kisha wanaendelea na mapambano
View attachment 2139205View attachment 2139206View attachment 2139207
Tangu Putin alivyotofautina na wamarekani, Kisha akawapa Uhuru wachechnya.Huko Chechnya si ndio Putin alichinja sana waislamu, leo masheikh wa bongo wanavyomsifia huyo Putin.
Kajifunze kitu inaitwa jihad,Iman au uchiz , hv huyo mtume ndo nawafundisha kushiriki vita vya kisiasa visivyowahusu?
Jichanganye Sasa ujifanye Kama unajikuna mkuu[emoji16]Wakijikusanya namna hii ni rahisi kuwachapa bom
Utaelewa tu, hata ukijitoa ufahamu. Screenshot yaonesha msaada wa chakuka toka Russia unafika Afghanistan (November 2021)Walipekeka lini msaada au wana mpango huo..
Unajihadi kutetea...wenyewe matajiri wao wameanza kuonja adha ya vikwazo...Utaelewa tu, hata ukijitoa ufahamu. Screenshot yaonesha msaada wa chakuka toka Russia unafika Afghanistan (November 2021)
View attachment 2139233
Utaelewa tu, hata ukijitoa ufahamu. Screenshot yaonesha msaada wa chakuka toka Russia unafika Afghanistan (November 2021)
View attachment 2139233
Tani 36 za misaada......!Utaelewa tu, hata ukijitoa ufahamu. Screenshot yaonesha msaada wa chakuka toka Russia unafika Afghanistan (November 2021)
View attachment 2139233
Ahaa kumbe umeelewa lile la kwanza la njaa.Unajihadi kutetea...wenyewe matajiri wao wameanza kuonja adha ya vikwazo...