Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Huwa unatazama TV gani mkuu. Kwa habari za nje?
Yaani wewe waleta stori za tv wakati mie ninakuwekea habari ya toka Reuters, au Reuters inamilikiwa na Russia?

Haya nakuongezea na taarifa hii toka FAO uone kama Russia ina njaa kama Tanzania

SmartSelect_20220305-001340_Chrome.jpg
 
Ukisoma maneno yake huyo jenerali ktk kiingereza (hapo chini, maandishi yalokolezwa) utatambua kuwa huyu kamanda ni nyoko aisee. Yaani ni mtu wa vita tu na hana hata chembe ya huruma na adui vitani.[emoji15][emoji3064][emoji15]
Uyu jamaa kiongozi wao Ni hafai,
Juzi juz TU Ukraine walishaanza kujitapa kua wamemuua katikati ya mapambano.

Jamaa akarusha video clip akiwa na wenzie wameiteka stoo ya silaha ya Ukraine na wanajeshi wa ukraine wamekimbia na kuitelekeza.

Ndo Maana punde TU Ukraine waliposikia Hawa jamaa wa chechnya wameingia kwny hii Vita.

Zelensky haraka Sana akaanza kulalama kwamba Putin amemkodishia wanajeshi 40 wa chechnya wamsake alikojificha na kumuua.

Baadae ndo akaona wameongezeka na kua wengi tofaut na alichotarajia
 
Halafu huyo jamaa pamoja na kupenda vita hivyo lakini asili yake katoka familia ya kishua. Baba yake aliwahi kuwa rais wa Chechen, President Akhmad Kadyrov, akauawa mwaka 2004 akiwa madarakani.
Kabisa,
Wale jamaa wana Mali nyingi Sana kwao, afu chenchnia wanatumia mfumo wa ujamaa kuishi.
Mali zote za marehem baba ake baada ya KUPATA uhuru, akazigawa kwa wananchi wake equally ili wote waishi kwa usawa.

Chechnya hujui tajiri Ni yupi, maskini Ni yupi.
Hawa jamaa wanaishi kwa usawa Sana.
 
So hawa jamaa ni Spartan army ya 21st century.
Anasounds za Leonidas kwa waliocheck movie ya 300.
 
Baada Ya Vita Kuanza Mrusi Yupo Kimya Zaidi Kuliko Ukraine Ambae Kwa Sasa Ametapakaza Habari Za Kutunga
Kwann yupo kimya kama anaelekea kushinda ? Kwann asiendelee na kelele zake alizoanza nazo kuwa wapo km 9 kuingia Kyiv , je mpk leo hawajafika kyiv ?
 
Hao jamaa wote nchini nimajihad misimamo mikali niwataliban wakizungu
Hawa misikiti yao Ni Kama kambi za kijeshi,

Watoto wanafundishwa mapambano tangu wakiwa watoto. Na hata baada ya swala au madrasa.

Chechniya kila mmoja Ni mlinzi wa taifa lake.

Afu kule chechnya kukutana Na mwanamke njiani ni nadra Sana.

Kule wanawake hawaendi kusomea hizi Elimu za magharibi,
asilimia kubwa ni wamama wa nyumbani.

Wanaume ndo utakutana nao kila kona, makazini Hadi masokoni wakiwanunulia wake zao mahitaji ya nyumbani.
 
Huko Chechnya si ndio Putin alichinja sana waislamu, leo masheikh wa bongo wanavyomsifia huyo Putin.
Tangu Putin alivyotofautina na wamarekani, Kisha akawapa Uhuru wachechnya.

Basi walimpenda Sana na wakamtii Kama godfather wao.

Hawana tatizo kabisa na Putin,
Maana wananongwa ya asili na uonevu wa wamarekani.
 
Back
Top Bottom