myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ki msingi nchi yeyote inaweza kusaidia chakula nchi nyingi. Hizo tani 36 hapa Tz mtu anaweza kutoa..ila unapoongea uchimi wa dunia ni jambo jingine. Uchumi wa Urusi ni sawa na wa Hispania...Ahaa kumbe umeelewa lile la kwanza la njaa.
Sasa umerukia hoja nyingine😀😀😀😀😀
Mzee wa kurukia rukia hoja usizozijua eti uchumi wa Russia ($ 1648 billion) ni sawa na wa Spain/Hispania ($ 1439 billion).Uchumi wa Urusi ni sawa na wa Hispania...
Kumbe eeAfu sio yeye TU,
Hata baba ake nae alkua hivyo hivyo.
Kukiwa na Vita anakwenda front, hata kifo chake kilisababishwa na kua mstar wa mbele vitani.
Uyu mtoto anafuata nyayo za baba ake[emoji4]
Utagoogle sana..ila siku si nyingi wewe na Urusi mtajutia hivi vita...Mzee wa kurukia rukia hoja usizozijua eti uchumi wa Russia ($ 1648 billion) ni sawa na wa Spain/Hispania ($ 1439 billion).
Huko shule ulienda somea ujinga?
Halafu linganisha na nchi yako ambayo uchumi wake ulikuwa ni
($ 69 billion) mwaka jana, 2021.
View attachment 2139248
View attachment 2139249
View attachment 2139250
Kama ni rahisi ku-google nawe si unge-google ili uwe wazungumza vitu vya uhakika? Au umeibiwa smartphone yako?Utagoogle sana..ila siku si nyingi wewe na Urusi mtajutia hivi vita...
Kapicha mkuu warusi wa ugogoni huku tufarijikeKama unafatilia vizur hii Vita,
Utagundua Hawa chenchnia Ni Moto wa kuotea mbali.
Hawa jamaa Ni Giants sana,
(Ukiwaangalia wakiwa na mateka wao au Raia wa kawaida, utadhani ni Daudi vs Goliathi.
Afu kwny Vita kila wanakopita wanafagia haswa, Ukraine soldiers wanakimbia na kutelekezea kambi, vifaa na mizinga n.k
Chskushangaza Hawa jamaa,
Hawana hata cover ya ndege Wala kifaru, wao wako kwa mguu TU.
Ila kichapo wanachotembeza utadhani wako kwny Hollywood movies.
Kabisa,
Wale jamaa wana Mali nyingi Sana kwao, afu chenchnia wanatumia mfumo wa ujamaa kuishi.
Mali zote za marehem baba ake baada ya KUPATA uhuru, akazigawa kwa wananchi wake equally ili wote waishi kwa usawa.
Chechnya hujui tajiri Ni yupi, maskini Ni yupi.
Hawa jamaa wanaishi kwa usawa Sana.
Mbona wameuwawa wengi tena ile special force iliyotumwa kum assassinate zelensky?Hawa ndio walimuomba Putin wenyewe ili washiriki hii Vita, Na ndio vikosi vya mwanzo mwanzo kabisa.
Hawa jamaa wananongwa Sana na wamarekan na washiriki wake sio POA.
Hayupo Ukraine ametuma vikosi vyake Ukraine. Pia Chechnya siyo nchi kamili ni semiautonomous chini ya Urusi kama zenji tu hapa bongo. Pia kumbuka ana upinzani mkubwa Chechnya wengi hawampendi kwasababu Chechens wengi wanataka kuwa taifa kamili hawataki kuwa puppet wa Moscow. Anamuunga mkono Putin kwasababu Putin anampa ulinziNi sawa na Putin akashike bunduki uko Ukraine,
Hawa jamaa Ni wazalendo Sana, ndo Maana kila wanakopita wanashnda.
Inaonekana wako well trained kwa vita MDA wowote.
Chechens na Dagestan ni makabila tofauti lakin lugha zinashabiana.Haya ni majimbo ya Urusi ambayo yanajitegemea Semi Autonomous. Kuna Dagestan, Chechnya, North Osetia, South Osetia ambazo zinajulikana kama caucuses nations ambazo zlijumuisha nchi kamili sasa hivi ambazo zilikuwa chini ya Urusi ya zamani Georgiia, Armenia na Azerbaijani. Na huko Georgia jimbo la Abkhazia limejitenga kutoka Georgia na kujiunga na Urusi.Kuna tofauti gani kati waChechniya na waDagestani?
MkaldayoKuna wengi humu hawajui!
Hawa jamaa Ni Kama wale waarabu wa TALEBAN sema wao Ni wazungu pure.
Wanamisimamo mikali sana Hawa, na wanachukia sana ubepari na wamarekani kuliko kitu chochote kile.
Ndo Maana putin alivyotangaza kuivamia Ukraine, Hawa walivaa gwanda wakatangulia vitani Moja kwa moja Bila hata kumjulisha Putin
Mbele ya Safar ndo barua ikamfikia Putin kua wanamunga mkono
Pole sana mkuu,
Je, hao maseneta wanao lalamika kuwa Marekani ipo nyuma ya Russia na China ktk silaha hiyo ya kisasa (a weapon of future) ni maseneta wa Russia?
Chombo cha habari kinachoripoti ni VOA, kwa kukusaidia kirefu chake ni Voice of America, nacho ni cha Urusi?
Uliona wapi wewe jaribio la silaha ya kimkakati lifanyike halafu chombo cha nchi kinzani ndio kitumike kupiga picha?
Utakuwa mgeni wa mambo haya wewe.
View attachment 2139203
Utaelewa tu, hata ukijitoa ufahamu. Screenshot yaonesha msaada wa chakuka toka Russia unafika Afghanistan (November 2021)
View attachment 2139233
bila kusahau futari ya magimbiWanakula ndondo Protein kama yote hahaha
Hamnazo unajifanya mjuaji tuKi msingi nchi yeyote inaweza kusaidia chakula nchi nyingi. Hizo tani 36 hapa Tz mtu anaweza kutoa..ila unapoongea uchimi wa dunia ni jambo jingine. Uchumi wa Urusi ni sawa na wa Hispania...
Silaha zote zinazotumika ni technology ya miaka ya 90s kurudi nyuma new technology bado mzigo haujaguswaUrusi ya sasa imebakia na makombora ya nyuklia tu..vingine ni zamani...
Kitu unachowaza sivyo kama ilivyo angetaka kumaliza sasa hivi ingekuwa historia hakuna hata sisimizi agekuwa hai hapo ukrein. Maana angeamua kufagia wale raia waliyokaa barabarani mgekuwa mnalilia hovyo. Kumbuka sasa hivi pia USA na NATO wapo mzigoni kwa hivyo anawabonda wote.Ni katika hayo mapambio tu, Russia kwenye hii vita kaonyesha udhaifu mkubwa mpaka magenerali wake wanaonekana dhahiri frustrated
Alifikiri vita ni kuangusha majengo marefu tu ya raia, kwa mfano anaangusha jengo residential house refu lakini wanakufa watu 4 tu, hajui watu wako wapi wala chochote akiingia mtaani wanagongwa ni raia waliopewa silaha kwa siku ya vita
Poor putini
Acha kumfananisha Putin na viumbe wengine huoni hata aibu?Kabisa,
Magu namfananisha na Putin.
Ule mgogoro na Kenya yeye alikua anajibu kwa vitendo, Afu wakenya wakizidiwa wao ndo wanatuita meza ya maridhiano.