Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Uchumi wa Urusi ni sawa na wa Hispania...
Mzee wa kurukia rukia hoja usizozijua eti uchumi wa Russia ($ 1648 billion) ni sawa na wa Spain/Hispania ($ 1439 billion).

Huko shule ulienda somea ujinga?

Halafu linganisha na nchi yako ambayo uchumi wake ulikuwa ni
($ 69 billion) mwaka jana, 2021.

SmartSelect_20220305-012919_Chrome.jpg


SmartSelect_20220305-012813_Chrome.jpg


SmartSelect_20220305-014508_Chrome.jpg
 
Kama unafatilia vizur hii Vita,
Utagundua Hawa chenchnia Ni Moto wa kuotea mbali.

Hawa jamaa Ni Giants sana,
(Ukiwaangalia wakiwa na mateka wao au Raia wa kawaida, utadhani ni Daudi vs Goliathi.

Afu kwny Vita kila wanakopita wanafagia haswa, Ukraine soldiers wanakimbia na kutelekezea kambi, vifaa na mizinga n.k

Chskushangaza Hawa jamaa,
Hawana hata cover ya ndege Wala kifaru, wao wako kwa mguu TU.

Ila kichapo wanachotembeza utadhani wako kwny Hollywood movies.
Kapicha mkuu warusi wa ugogoni huku tufarijike
 
Kabisa,
Wale jamaa wana Mali nyingi Sana kwao, afu chenchnia wanatumia mfumo wa ujamaa kuishi.
Mali zote za marehem baba ake baada ya KUPATA uhuru, akazigawa kwa wananchi wake equally ili wote waishi kwa usawa.

Chechnya hujui tajiri Ni yupi, maskini Ni yupi.
Hawa jamaa wanaishi kwa usawa Sana.

Kuna tofauti gani kati waChechniya na waDagestani?
 
Ni sawa na Putin akashike bunduki uko Ukraine,

Hawa jamaa Ni wazalendo Sana, ndo Maana kila wanakopita wanashnda.

Inaonekana wako well trained kwa vita MDA wowote.
Hayupo Ukraine ametuma vikosi vyake Ukraine. Pia Chechnya siyo nchi kamili ni semiautonomous chini ya Urusi kama zenji tu hapa bongo. Pia kumbuka ana upinzani mkubwa Chechnya wengi hawampendi kwasababu Chechens wengi wanataka kuwa taifa kamili hawataki kuwa puppet wa Moscow. Anamuunga mkono Putin kwasababu Putin anampa ulinzi
 
Kuna tofauti gani kati waChechniya na waDagestani?
Chechens na Dagestan ni makabila tofauti lakin lugha zinashabiana.Haya ni majimbo ya Urusi ambayo yanajitegemea Semi Autonomous. Kuna Dagestan, Chechnya, North Osetia, South Osetia ambazo zinajulikana kama caucuses nations ambazo zlijumuisha nchi kamili sasa hivi ambazo zilikuwa chini ya Urusi ya zamani Georgiia, Armenia na Azerbaijani. Na huko Georgia jimbo la Abkhazia limejitenga kutoka Georgia na kujiunga na Urusi.
 
‘Comrade President, Comrade Supreme Commander – I have said multiple times that I am your humble footman, that I am ready to give my life for you.

Lugha ya kinyenyekevu Sana kwa Mkuu hii, Mkuu Putin.
 
Hawa jamaa Ni Kama wale waarabu wa TALEBAN sema wao Ni wazungu pure.

Wanamisimamo mikali sana Hawa, na wanachukia sana ubepari na wamarekani kuliko kitu chochote kile.

Ndo Maana putin alivyotangaza kuivamia Ukraine, Hawa walivaa gwanda wakatangulia vitani Moja kwa moja Bila hata kumjulisha Putin

Mbele ya Safar ndo barua ikamfikia Putin kua wanamunga mkono

Hawa jamaa ni wana morali hatari hawakusubiri kuambiwa waingie vitani ilikuwaje wakaelewana na urusi
 
Pole sana mkuu,

Je, hao maseneta wanao lalamika kuwa Marekani ipo nyuma ya Russia na China ktk silaha hiyo ya kisasa (a weapon of future) ni maseneta wa Russia?

Chombo cha habari kinachoripoti ni VOA, kwa kukusaidia kirefu chake ni Voice of America, nacho ni cha Urusi?

Uliona wapi wewe jaribio la silaha ya kimkakati lifanyike halafu chombo cha nchi kinzani ndio kitumike kupiga picha?

Utakuwa mgeni wa mambo haya wewe.


View attachment 2139203

Ni mvivu tu kuwaza huyo
 
Ni katika hayo mapambio tu, Russia kwenye hii vita kaonyesha udhaifu mkubwa mpaka magenerali wake wanaonekana dhahiri frustrated

Alifikiri vita ni kuangusha majengo marefu tu ya raia, kwa mfano anaangusha jengo residential house refu lakini wanakufa watu 4 tu, hajui watu wako wapi wala chochote akiingia mtaani wanagongwa ni raia waliopewa silaha kwa siku ya vita

Poor putini
Kitu unachowaza sivyo kama ilivyo angetaka kumaliza sasa hivi ingekuwa historia hakuna hata sisimizi agekuwa hai hapo ukrein. Maana angeamua kufagia wale raia waliyokaa barabarani mgekuwa mnalilia hovyo. Kumbuka sasa hivi pia USA na NATO wapo mzigoni kwa hivyo anawabonda wote.
 
Back
Top Bottom