Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Umewaza nnje ya boksi Chifu [emoji847]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hao si ndio yale magaidi ya Chechnya kuna kipindi waliteka watoto nchini Russia walipokuwa wakishinikiza kujitenga na Russia na baadaye Putin alimaliza huo mgogoro kwa kuwaua magaidi wote sambamba na wale watoto.
 
Na sasa Ukraine wanawalaumu USA na NATO kwa kuwahadaa kuwa watasaidiwa kuitokomeza Russia lakini baada ya kuona hali ingekuwa tofauti wameachwa wapambane wenyewe. Kweli maji ukiyavulia nguo yaoge mwenyewe usingoje jirani yako
 
Yan mkishachapana lazima mheshimiane Hawa walishatandikana Sana mmoja akashinda ikawa heshima urus ilichapika Sana alafu ilikuwa kimya kimya
 
Kwa kichapo kilichotembezwa, maswahiba tayari wameanza kutukanana, eti NATO ni madhaifu mnoooo! Huyo ndiyo ze Comedian Zelensky

 
Watu kama hawa ndio wanatakiwa kuitwa wajinga.wapumbavu.
Uwezi kuhisi raha kwa kumwaga damu badala ya kutafuta suluhu ipatikane amani
 
yaani mimi naombea Ukrain ipigwe mpaka ibaki jangwa ***** ...
 
Zelensky ailalamikia Israel kuwa imemvunja sana moyo (imemuangusha mnoo) ktk kipindi hiki kizito licha ya kuwa waUkrain wana mahusiano mazuri na nchi hiyo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…