Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Warusi wangekuwa na roho mbaya kama Wayahudi wa Gaza,pengine hii vita ingeshavunja records za Hiroshima&Nagasaki na ile ya Rwanda 1994 kwa kuua watu wengi kwa muda mfupi.

Raia wanazuia misafara ya vifaru kwa kuning'iniza gololi tu barabarani na hakuna anayelipuliwa.

Ingekuwa Gaza hali ingekuwa mbaya.

BTW:Hao waChechnya watakuwa wanatafuta uzoefu zaidi kwa matumizi ya baadae.[emoji16]
Umewaza nnje ya boksi Chifu [emoji847]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hao si ndio yale magaidi ya Chechnya kuna kipindi waliteka watoto nchini Russia walipokuwa wakishinikiza kujitenga na Russia na baadaye Putin alimaliza huo mgogoro kwa kuwaua magaidi wote sambamba na wale watoto.
 
Bora zako wewe mjuvi zaidi wa nguvu za kijeshi za Putin kuliko hata Defense Secretary wa Marekani General Lloyd Austin ambaye yeye aliongoza vikosi kadhaa ktk vita vya Baghdad. General Austin yeye anasema kuwa Russia bado wana uwezo na nguvu kubwa mno ya kuishambulia Ukraine ambayo hawajaamua kuitumia. Ila wewe waona kinyume na huyo kiongozi mkuu wa maswala ya Ulinzi ya Marekani.


Na sasa Ukraine wanawalaumu USA na NATO kwa kuwahadaa kuwa watasaidiwa kuitokomeza Russia lakini baada ya kuona hali ingekuwa tofauti wameachwa wapambane wenyewe. Kweli maji ukiyavulia nguo yaoge mwenyewe usingoje jirani yako
 
Yan mkishachapana lazima mheshimiane Hawa walishatandikana Sana mmoja akashinda ikawa heshima urus ilichapika Sana alafu ilikuwa kimya kimya
 
Kwa kichapo kilichotembezwa, maswahiba tayari wameanza kutukanana, eti NATO ni madhaifu mnoooo! Huyo ndiyo ze Comedian Zelensky

SmartSelect_20220305-142114_Chrome.jpg
 
Watu kama hawa ndio wanatakiwa kuitwa wajinga.wapumbavu.
Uwezi kuhisi raha kwa kumwaga damu badala ya kutafuta suluhu ipatikane amani
 
yaani mimi naombea Ukrain ipigwe mpaka ibaki jangwa ***** ...
 
Zelensky ailalamikia Israel kuwa imemvunja sana moyo (imemuangusha mnoo) ktk kipindi hiki kizito licha ya kuwa waUkrain wana mahusiano mazuri na nchi hiyo

SmartSelect_20220305-145029_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom