Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili.

Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia vikosi vyake vipo vitani nchini Ukraine. Meja jeneral Ramzan amemuomba rais Putin afumbie macho yatayowapata waUkraine na awaruhusu wao (makamanda wa majeshi ya Russia, akiwemo yeye Ramzan, nchini Ukraine) wanyunyizie mabomu mazito Ukraine na kuwapa mapigano ya kushtukiza na mfululizo ili kumaliza vita hiyo mara moja.

Generali huyo alimuomba rais Putin kuachana na mapatano akidai 'yasiyo na maana' na badala yake kudraft mipango ya kusitisha mapigano tu kwa muda, na kisha kuongeza zaidi spidi ya mapambano (vita).

Ukisoma maneno yake huyo jenerali ktk kiingereza (hapo chini, maandishi yalokolezwa) utatambua kuwa huyu kamanda ni nyoko aisee. Yaani ni mtu wa vita tu na hana hata chembe ya huruma na adui vitani.

54939575-10576905-image-a-4_1646382845044.jpg


======

March 4, 2022

A key ally of Vladimir Putin has called for a blitzkrieg of savagery to be unleashed in Ukraine to force a surrender ‘within a day or two’.

Ramzan Kadyrov, the leader of Chechnya who holds the rank of Major-General in the Russian National Guard and whose forces are deployed in Ukraine, is urging the despot to bombard Ukraine into submission to spare further Russian losses

In an audio message to Putin, the 45-year-old said: ‘Comrade President, Comrade Supreme Commander – I have said multiple times that I am your humble footman, that I am ready to give my life for you.

‘But I cannot keep looking at my – and our – fighters dying, our defence ministry forces, national guards and others…

‘I am strongly asking you to shut your eyes to everything, and allow us to finish it all within a day or two.


He told the Kremlin leader to abandon ‘useless’ negotiations and draft ceasefires or peace deals with the Ukrainians and speed up the war.

‘All these negotiations are useless, the longer we wait, the more sanctions they produce,’ he said, referring to the West.

‘All these papers, negotiations are no good.. they can shove these papers up where they want to.

‘As a fighter, as a general, I cannot watch our fighters getting killed not in a fight but while waiting, from shooting by these devils, these Bandera people, these Nazis.

‘I am sure that you will make the right decision and order to completely take Ukraine, and to destroy these demons.


 
Kama unafatilia vizur hii Vita,
Utagundua Hawa chenchnia Ni Moto wa kuotea mbali.

Hawa jamaa Ni Giants sana,
(Ukiwaangalia wakiwa na mateka wao au Raia wa kawaida, utadhani ni Daudi vs Goliathi.

Afu kwny Vita kila wanakopita wanafagia haswa, Ukraine soldiers wanakimbia na kutelekezea kambi, vifaa na mizinga n.k

Chskushangaza Hawa jamaa,
Hawana hata cover ya ndege Wala kifaru, wao wako kwa mguu TU.

Ila kichapo wanachotembeza utadhani wako kwny Hollywood movies.
 
View attachment 2139147hii kazi wameifanya hao jamaa. NGumu kukuta mchenchen mwemba mba sijui wanakulaga nin
Hawa jamaa Nadhan ndo kile kizazi Cha kina Goliath.

Afu waungwana sana, Wanapenda mno raia.

Ukiangalia jins wanavyowapeti peti na kuwabembeleza raia wakae sehem salama, utadhani Ni familia Yao kabisa.
 
Hawa Putin walimuonyeshaga joto ya jiwe. Sema sasa eti wamekuwa marafiki na Putin.
Hawa jamaa sijui wanajifunzia wapi mapambano, Wanatumia bunduki, majambia, mikuki na visu kwa wakati mmoja.

Wako kwa mguu
afu ni wachache kwa idadi, ila ukiangalia walikopita na kufagia utadhani Kuna robot au allien amefyeka watu .
 
Muda tu Urusi itachoka..wataanza kubeba mabomu warudishe kambini. Bomu halina nguvu kama chakula...Adui muombee njaa
Urusi ipi waizungumzia? Ya Buza au ya Kremlin?

Kama ya Kremli utasubiri sana aisee...

Juzi tu Urusi imegawa msaada wa chakula tani 30 (kg 30,000) kwa raia wa Ukrain halafu ishindwe kuwalisha wanajeshi wake (Russia) walio kwenye majukumu mazito ya kulinda usalama wa nchi (Urusi). Utakuwa hauko siriaz mkuu

SmartSelect_20220303-124032_Chrome.jpg
 
Urusi ipi waizungumzia? Ya Buza au ya Kremlin?

Kama ya Kremli utasubiri sana aisee...

Juzi tu Urusi imegawa msaada wa chakula tani 30 (kg 30,000) kwa raia wa Ukrain halafu ishindwe kuwalisha wanajeshi wake (Russia) walio kwenye majukumu mazito ya kulinda usalama wa nchi (Urusi). Utakuwa hauko siriaz mkuu

View attachment 2139168
Mkuu hiyo habari imetokewa ba Shirika lipi la habari,?
 
Back
Top Bottom