rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Hata mmarekani hatumii police service sembuse wew mswahili mbishi uletewe service.Ubaya wa kuajiri watu kwenye jeshi la polisi kwa sifa ya urefu badala ya elimu.
Kuna haja ya nchi yetu kuwa na police service na kuondoa kabisa hii police force
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wanachukiwa na cdm. Kwasababu cdm wamekuwa watetezi wa kila uovuKwa mwendo huu uhalifu hauwezi kuisha nchini,Kama polisi wanachukiwa na raia na hata kuwaogopa,lini watatoa ushirikiano chanya kwa jeshi letu..
Na Kama wangekuwa wanafanya kasi kwa akili bila kutumia nguvu,idadi ya polisi ingekuwa inatosheleza mahitaji kea 100% maana kazi nyingi za kiuhalifu wangekuwa wanashirikiana na raia Tena kwa kiwango Cha Hali ya juu.
Lakini si unakumbuka walivyokuwa wanamtukana JK, na mwisho wakamwita ni rais dhaifu/goigoi. Ina maana ule udhaifu haukuwa wa mtu binafisi kama JK bali ni taasisi ya urais, na taasisi ya urais ni pamoja na mifumo yote ya nchi.Japo ana mapungufu ila JK alikuaga ana akili sana, yani anawaacha msemeee we ye anajua atawashika wapi.
Sipendi kbs siasa ila nawachukia sana polisi ambao hawana nidhamu ni watu wajinga sana. Sasa hapo utajikuta wanapongezana kwa ujuha wao waliofanya. Kuna siku mvua inanyesha kuna polisi wawili niliwanyima lifti kwa makusudi kbs. Kwanza toka lini askari anaogopa mvua. Ukweli siwapendi hawana msaada kbs na raia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanaaminishwa kwamba upolisi ni kutumia maguvu mengi sana na kuonesha ubedui! It is psychological!
Tatizo la Mdee anaichukulia siasa kwa mtazamo wa chuki, na hii inamfanya mara zote aumie,
pole yake, ila siasa za bongo si za kwenda na hasira, utaumia peke yako and no one cares.
Hivi polisi nao hulindwa na nani?? Nauliza tu...sitaki povu...
Una mtusha nani?Hizi mambo za Polisi kupiga raia in the name of kulinda amani au kuzuia vurugu tushazisikia sana, zishalalamikiwa sana na hakuna kinachobadilika, walimuua Akwilina watu wakasema wee, bado vinaendelea iko siku wananchi watajachukua sharia mikononi mwao…….Polisi wenyewe tunaishi nao mitaani, ni majirani zetu, watoto wao wanasoma na wenetu, wake zao wanashiriki vikoba nasi...…...iko siku.
Polisi wanachukiwa na cdm. Kwasababu cdm wamekuwa watetezi wa kila uovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe tafsiri ya hiyo x ray picha we ni Doctor. Au mnatafuta public sympath sababu uchaguzi mmeshindwa.Propaganda za kishambaKila nikiangalia hii picha ya x-ray najisikia natetemeka. Tazameni jinsi mhe Halima Mdee walivyo mvunja mkono hapo kwenye picha chini.
Huu ni zaidi ya ukatili ulio putiliza jamani watanzania wenzetu. View attachment 1388478
In God we Trust
Kwahiyo wamekupa vipimo vyao usambaze?Kila nikiangalia hii picha ya x-ray najisikia natetemeka. Tazameni jinsi mhe Halima Mdee walivyo mvunja mkono hapo kwenye picha chini.
Huu ni zaidi ya ukatili ulio putiliza jamani watanzania wenzetu. View attachment 1388478
In God we Trust
Kwani sina sifa ya kuwa Dr? Ebu wacha uchawi wewe LumumbaTupe tafsiri ya hiyo x ray picha we ni Doctor. Au mnatafuta public sympath sababu uchaguzi mmeshindwa.Propaganda za kishamba
Kitu ambacho kitaratibu za matibabu na sheria hakiwezekaniMnavyo fanya ni mbaya sana
In God we Trust
Mimi naitwa Lumumba?Kwani sina sifa ya kuwa Dr? Ebu wacha uchawi wewe lumumba
In God we Trust