Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Sumve 2015,
Naomba kuuliza kistaarabu katibu wa uenezi polepole nani alimpa kibali cha kuingia mule magereza Kama nani pale na kibali alikitoa wapi kwenda kumpokea msigwa ambae aliwakana kuwa hana ugeni huu
 
Kilichomufanya ajimwambafai kwa wanaume wakat anajua kabisa yeye Ni kiumbe Dhaifu kwao.
 
Wewe mbwa koko wa kotas utaingia kwenye 18 Siku si nyingi. Sasa tunamfahamu Casian aliyempiga mtama bulaya. Jeshi usu la kanda maalum liko kazini subirini kidogo
naona sasa umeamua kujiripua kabisa na kujionenya kuwa u mbwa koko maana hayo ndiyo yaliyojaza nafsi yako! Kama hamtaki kipigo basi mtii sheria na maelekezo bila shuruti! Mmeachiwa kutoka jela! badala ya kwenda kutulia na familia zetu huku mki'reflect' yaliyojili…no, mnaanza kuwashwa ni kuchezea masharubu ya simba, mkibutuliwa mnaanza kulalama na kutukana!

Hiyo kumi na nane itakukuta mwenyewe tena mapema sana kuliko unavyowaza kama utaendelea kuwaza kimbwa koko koko unakowaza! maana mbwa koko anastahili kipigo cha mbwa koko aliyekula mayai!

Tumechoka na upuuzi wenu mkijidai mnatafuta ukombozi usiojulikana! Tulishakombolewa kutoka ukoloni kisiasa, nasasa tupo kwenye jitihada za kujikomboa kiuchumi! ukombozi wa kiroho unaupata kwa Yesu Kristo. Huu ukombozi wenu mnaobwabwaja kila kukicha ni ukombozi usiojulikana kwa ajili ya wasiojulikana! Naunga mkono mkong'oto kwenu!
 
Tupo kwenye mapito....hatma ya Tanzania yetu ni ngumu...

Huu uchaguzi tuombe UN waunulike maana vifo vitakuwa vingi kama ujinga huu utaendelea.

Hasira za Msigwa kuwatosa kwa aibu zinaishia kwa kina mama kuwapa kipigo kitakatifu...hadi kuwavunja viungo...aisee!!
 
Usilete mihemko yako maeneo haya, NARUDIA HAYA TENA MAENEO YA NO MIHEMKO JOMBAA,

1. KAMBI ZA KIJESHI
2. MAGEREZA
3. MAHAKAMANI NA VIUNGA VYAKE

Na hii haijalishi ni Tanzania au nchi nyingine yeyote Duniani.

Hawataangalia wewe ni nani wataangalie umefanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tatizo la watanzania Ni wanafiki sana. Hivi Halima Mdee angekaa nyumbani kwake au ofisini na Mbowe angetoka tu kungeharibika nini. Punguzeni ujinga. Mambo mnayapanga matokeo mnayashangaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la watanzania Ni wanafiki sana. Hivi Halima Mdee angekaa nyumbani kwake au ofisini na Mbowe angetoka tu kungeharibika nini. Punguzeni ujinga. Mambo mnayapanga matokeo mnayashangaa.


Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kuwa kasuku unayefuatisha maneno ya anayekufuga(Dikteta Jiwe)!
Wakti Mashinji anatoka tuliona Polepole na Fisi wenzake wakiingia Segerea na kumtoa Mashinji lakini pia Jiwe alipofanya Unafiki/Usanii wa kumlipia Mhe. Msigwa Polepole pia alikwenda Segerea kumchukua Msigwa.....hawakupigwa mabomu wala kuvunjwa mikono...ila kwa CHADEMA kwenda kumchukua Mhe.Mbowe ni dhambi....! This is nothing else but Double standards...!
 
Usiwe kama mbwehe! Hivi kina Polepole walilazimisha kuingia gerezani na kumtoa Mashinji kwa nguvu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe kama mbwehe! Hivi kina Polepole walilazimisha kuingia gerezani na kumtoa Mashinji kwa nguvu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Najua wewe ni FISICCM...!
Usitake kuwafanya Watz ni mazuzu....Everything is on record....!
Dunia yote imeshuhudia chanzo Cha vurugu Ni ASKARI MAGEREZA walioanza kushambulia msafara wa Viongozi wa CHADEMA pasipo na sababu za msingi.....!
Watu wako ndani ya gari unawashusha kwa nguvu na KUANZA kuwapiga kama SIYO bangi ni kitu gani?
Mnachokitafuta na Magufuli wenu mtakipata tu....!Tanzania SIYO Kisiwa baba....!
 
Acheni kuongelea mambo msioyaelewa halima na wenzake walivunja sheria ya magereza wanastahili walichopewa kwa taratibu za magereza


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acheni kuongelea mambo msioyaelewa halima na wenzake walivunja sheria ya magereza wanastahili walichopewa kwa taratibu za magereza


Sent from my iPhone using JamiiForums

Watu wamerokodi picha za Video zinaonesha kila kitu....!
Askari Magereza na Wavuta bangi ndo waloanzisha mashambulizi kwa CHADEMA...!!!
 
siku mkirudia kufanya ujinga kama huu tena wawavunje mikono na viuno, ni wazi kabisa wanahatarisha usalama na kuvunja sheria kwa kukusudia. Hawa viongozi wa Chadema watambue kuwa watanzania sio wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…