Polisi wana sema hawaja wapiga. Wakati wao ndio waliwashikilia. Ina chekesha sana.. IGP asipo wafundisha hawa askari wake wata kuja liingiza Taifa kwenye taharuki. Hivi sasa polisi wana jiona wako juu ya sheria zote za nchi. Mh Rais nae an furahia huu upuuzi#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana[emoji24][emoji24]
Iko Siku? Siku gani? Nionyeshe mahali popote duniani hii siku ilifikaHizi mambo za Polisi kupiga raia in the name of kulinda amani au kuzuia vurugu tushazisikia sana, zishalalamikiwa sana na hakuna kinachobadilika, walimuua Akwilina watu wakasema wee, bado vinaendelea iko siku wananchi watajachukua sharia mikononi mwao…….Polisi wenyewe tunaishi nao mitaani, ni majirani zetu, watoto wao wanasoma na wenetu, wake zao wanashiriki vikoba nasi...…...iko siku.
Wao wanafanya kazi tu, zaidi ya mshahara ni fadhila gani unataka wapewe?Stress za maisha ya kuitumikia ccm isiyowalipa fadhila
Utaenda kaburini kabla hata CHADEMA haijatetereka mkuu.
Ingekuwa kaburini wala nzi wa kijani msingekuwa na haja ya kutumia nguvu kubwa kiasi cha kudhirisha upumbavu wenu.Chadema ipo kaburini tayari au huna habari?
Hulka ya upande ndio inapelekea jambo kutendekaWakija watasema walitumia ‘nguvu za kadri’ ndio mpaka kuvunjana mikono au kupasuana vichwa kweli.
Mbona polepole alipomfuata Mashinji na wapambe atukuona polisi nje ya jela.
Shame on the police force
Nguvu kubwa unaifahamu? Hiyo mbona cha mtoto tu, you haven't seen a thing.Ingekuwa kaburini wala nzi wa kijani msingekuwa na haja ya kutumia nguvu kubwa kiasi cha kudhirisha upumbavu wenu.
Wewe ni wakupuuzwa tu. Huna akili.Nguvu kubwa unaifahamu? Hiyo mbona cha mtoto tu, you haven't seen a thing.
Acha upumbavu umekariri polisi tu, huwa mnafikiri wanaoweza kupiga ni polisi tuPolisi wana sema hawaja wapiga. Wakati wao ndio waliwashikilia. Ina chekesha sana.. IGP asipo wafundisha hawa askari wake wata kuja liingiza Taifa kwenye taharuki. Hivi sasa polisi wana jiona wako juu ya sheria zote za nchi. Mh Rais nae an furahia huu upuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvunjwa mkono ni uzembe mkubwa. Tulitakiwa kusikia msiba wa mtu na mpenzi wakeWewe ni wakupuuzwa tu. Huna akili.
#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana[emoji24][emoji24]
Wewe ni wakupuuzwa tu. Huna akili.
Polepole hana mamlaka ya kupewa ata mgambo tu wa kumlinda kikatiba, labda walinzi kutoka kampuni binafsi ambao CCM itawalipa.Hulka ya upande ndio inapelekea jambo kutendeka
Polepole mtu mzito wa chama kinachoongoza serikali umpelekee polisi iweje? Atafanya nini?
Labda uwapeleke kumlinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Majungu hayo!Alafu unakuta ni WANAJESHI WA JWTZ ..wameamua kutumia magwanda
ya Polisi .