Ila muhanga wa awali kabisa ni Ben Saanane.Kabla ya kumtoa mkoloni mweusi,lazima kuwe na wahanga na kina Mdee ndio wahanga wa awali ila bado kuna wahanga wengi huko mbeleni.
Tuvumilie tu kwani haya yana mwisho.
Ubaya wa kuajiri watu kwenye jeshi la polisi kwa sifa ya urefu badala ya elimu.
Kuna haja ya nchi yetu kuwa na police service na kuondoa kabisa hii police force
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila muhanga wa awali kabisa ni Ben Saanane.
Kwahiyo la kulindwa ndio limekuuma? Sasa polisi wapekekwe anapokuwepo ili iwejePolepole hana mamlaka ya kupewa ata mgambo tu wa kumlinda kikatiba, labda walinzi kutoka kampuni binafsi ambao CCM itawalipa.
Hana mamlaka ya kumpa maagizo hata mwenyekiti wa mtaa, siyo yeye tu ata na Bashiru.
Wasimamizi wa wa ilani ya chama tawala ni raisi na baraza la mawaziri na watekelezaji ni makatibu wakuu na watu wote waliochini yao mpaka kwenye ngazi za serikari za mitaa.
Waliopigwa ni waheshima viongozi wanaotambulika kikatiba. Polepole na Bashiru katiba yetu aiwatumbui kama viongozi wa kitaifa (ni viongozi ndani ya CCM tu), kama walivyo viongozi wengine kama akina Ado Shaibu et al ndani ya vyama vyao.
Polisi gani wapuuzi hao waliokuomba lift?Sipendi kbs siasa ila nawachukia sana polisi ambao hawana nidhamu ni watu wajinga sana. Sasa hapo utajikuta wanapongezana kwa ujuha wao waliofanya. Kuna siku mvua inanyesha kuna polisi wawili niliwanyima lifti kwa makusudi kbs. Kwanza toka lini askari anaogopa mvua. Ukweli siwapendi hawana msaada kbs na raia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani, na sasa hivi?Polisi wengi walikuwa wanachukuliwa miongoni mwa familia za askali walioshindikana kotasi na waliokuwa wanavuta bangi.zamani wasomi walikuwa hawaendi jeshini hivyo walikuwa wanachukuliwa waliofeli shule na kukosa pa kwenda.haya matukio ya Askari kupiga raia yanakaribia kukomaa Happ nguvu ya umma itakapochukua nafasi yake.they have to learn from the past.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katibu mkuu wa ccm kasema watatumia dola kuhakikisha wanabaki madarakani!!!!#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
Unamzungumzia mzee wako aliyefanya upolisi wa kizamani, Kada zote mpaka mawaziri wa zamani hawana kitu wakishastaafuKuboresha maisha yao,kuwaongezea mishahara,vyeo,nk.Uoni choka mbaya mda wa kuitumikia ccm ukiisha had huruma
Kabisatutaamini vipi kama ulichoandika ni kweli, sababu "makamanda" mna taaluma za kutengeneza matukio.
Pole sana mtanzania mwenzangu ,mungu atatenda na utapona haraka,yeye ndo ajuae siku za binadamu kuishi dunian#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
Tommy boy au?Askari aliyefuzu ajisifu Kwa kupiga mwanamke utumia akili kumdhibiti mwanamke
Wale wanabebwa na gwandas tu Bila hizo wanachapika tuTommy boy au?
Tommy boy au?
[
Watu wanaheshimu gwandas tu
Nakumbuka vzr sana majitu yalokuwa yanakimbilia kujiunga na Polisi/Jeshi ni yale yalopata DARAJA '0'(DIV-0)....! Automatically ni mijitu isiyo na akili inaongozwa kwa AMRI na KUVUTA BHANG....!
Naomba Rais Magufuli atoe pesa za kumtibia Mhe.Halima Mdee.
Meanwhile CHADEMA ijipange kufungua kesi Mahakamani kuwashtaki Jeshi la Polisi kwa kumshambulia Raia asiye na hatia...tumechoka na huu upumbaf wa Polisi wavuta bhang!
Endeleeni kuligawa taifa kwa nguvu zote!Ipo siku mtajutia uovu wenu,kwa kauli kama hizi ndio maana watu walikuwa wakifurahia kila wakisikia kibiti kuna panya wa CCM amezimishwa!Akitoka hapo arudishwe jela, maeneo ya kijeshi si ya kuleta siasa. Wakome kabisa kujifanya wanaharakati maeneo ya jeshi, pongezi kubwa sana kwa jeshi la magereza.
Kwa kauli kama hizi sishangai watu kumpa pole Punda aliyekufa kwa kugongwa badala ya kumpa pole Kigwangala aliyekuwa mahututi!Huo mkono ulitakiwa kukatika kabisa ,nasikitika umeishia kuvunjika tu,ninahuzuni sana
Kweli mkuu?Wale wanabebwa na gwandas tu Bila hizo wanachapika tu