Atasema mungu ng'ombe[emoji1787][emoji1787]Nimekuambia Mungu ni dhana ya kufikirika isiyo na uhalisi nje ya ulimwengu wa dhana tu.
Kama unabisha, taja Mungu yeyote ambaye yupo nje ya ulimwengu wa kufikirika tu.
Ukiniuliza dhana gani ya kufikirika, itabidi unitajie Mungu gani, kwa sababu kila Mungu ni dhana tofauti ya kufikirika, na hivyo swali la dhana gani ya kufikirika bila kumtaja Mungu halina mantiki.
Sasa jibu swali.
Taja Mungu ambaye yupo nje ya dhana ya kufikirika tu.
Ukishindwa, umeshindwa kukanusha kwamba Mungu ni dhana ya kufikirika tu.
Kwanini ujitenganishe na uislamu wakati umedai we ni muislamu?Halafu nikikwita dogo unaona kama nakutukana,kwani una umri gani maana kwenye upande uelewa ni shida sana.
Jamaa yenu hasemi Mungu ni nini anaishia kusema tu kuwa Mungu ni dhana ila pia haelezi hiyo dhana ni ipi, hata ukimwambia huyo mungu ng'ombe atakataa na hana sababu kwanini akatae.Atasema mungu ng'ombe[emoji1787][emoji1787]
Wapi sasa nilipojitenga na uislamu? dogo unachosha mbona unauelewa mzito hivi?Kwanini ujitenganishe na uislamu wakati umedai we ni muislamu?
Au unataka ukane hapa kua wewe sio muislamu?
Uislamu haujaelezea habari za mungu?
Wapi sasa nilipojitenga na uislamu? dogo unachosha mbona unauelewa mzito hivi?
Duh!Kama hujajitenga na uislamu kivipi udai nisikuhusishe wewe na uislamu?
Uislamu haujaelezea habari za mungu?
Hakuna mahali nimekuambia uislamu umeshindwa kukuelezea mungu ni nini, nachojua na nilichokiandika ni swali nilililokuuliza wewe muumini wa dini ya kiislamu na ndio maana nikaweka kiulizo mwishoniDuh!
Mimi nimekuuliza wewe Mungu ni nini? umeshindwa kujibu,matokeo yake unaniambia kuwa uislamu umeshindwa kunieeza Mungu ni nini na ndio maana nikasema usihusishe uislamu kwa sababu aliyeulizwa na kushindwa kujibu swali ni wewe na uislamu.
Kwahiyo sitakiwi hata kushiriki humu mjadala wa kuwepo au kutokuwepo Mungu kwa sababu mimi ni muislamu na uislamu unasema Mungu yupo? kwa sababu mimi mimi nimetaka kujua maana ya Mungu kutoka kwako na nimeuliza hilo swali kama sehemu ya mjadala, sasa ajabu unataka kunizuia kuuliza kisa uislamu wangu.Hakuna mahali nimekuambia uislamu umeshindwa kukuelezea mungu ni nini, nachojua na nilichokiandika ni swali nilililokuuliza wewe muumini wa dini ya kiislamu na ndio maana nikaweka kiulizo mwishoni
Unashindwa hata ku decodes ujumbe nao kuandikia napata mashaka sijui kama unaweza ku fit kwenye hoja
Ili nisihusishe uislamu unatakiwa ukane hapa kua wewe sio muislamu, kwanini hujiulizi sikuhusishi na ukristo bali uislamu?
Umedai we ni muislamu, na uislamu ni dini inayojihusisha na habari za mungu, sasa kivipi usijue maana ya mungu?
Uislamu umeshindwa kuelezea maana ya mungu?
Wapi nimesema hutakiwi kushiriki mjadala?Kwahiyo sitakiwi hata kushiriki humu mjadala wa kuwepo au kutokuwepo Mungu kwa sababu mimi ni muislamu na uislamu unasema Mungu yupo? kwa sababu mimi mimi nimetaka kujua maana ya Mungu kutoka kwako na nimeuliza hilo swali kama sehemu ya mjadala, sasa ajabu unataka kunizuia kuuliza kisa uislamu wangu.
Ndio maana nilikuwa sitaki tufike huku kwenye dini,haya cheki sasa naelekea kunyimwa uhuru wa kuuliza maswali humu kwa sababu ya dini yangu.
Mimi nimeuliza swali kwenye mjadala katika kushiriki kwangu kwenye huo mjadala na sijasema kwamba uislamu hauna jibu la hilo swali,sasa labda useme sitakiwi kuuliza maswali na nikaulize kwenye dini yangu na ikiwa hivyo maana yake siruhusiwi kushiriki huo mjadala.Wapi nimesema hutakiwi kushiriki mjadala?
Umedai we ni muislamu, na uislamu ni dini inayojihusisha na habari za mungu, sasa kivipi usijue maana ya mungu?
Uislamu umeshindwa kuelezea maana ya mungu?
watu ma-gangsta sana[emoji3]kuna mmepinda,yaani unamuita Mungu msanii?
Kwa hiyo uislamu umeeleza maana ya mungu?Mimi nimeuliza swali kwenye mjadala katika kushiriki kwangu kwenye huo mjadala na sijasema kwamba uislamu hauna jibu la hilo swali,sasa labda useme sitakiwi kuuliza maswali na nikaulize kwenye dini yangu na ikiwa hivyo maana yake siruhusiwi kushiriki huo mjadala.
Mungu yupi?Kwa hiyo uislamu umeeleza maana ya mungu?
kwani uislamu umeelezea habari za mungu yupi?Mungu yupi?
Allahkwani uislamu umeelezea habari za mungu yupi?
Kwa mujibu wa uislam, umemfafanua huyo allah kama mungu wa namna gani?Allah
Sijakuelewa, unaposema Mungu wa namna ndio una maana gani?Kwa mujibu wa uislam, umemfafanua huyo allah kama mungu wa namna gani?
Uislamu umemfafanuaje mungu?Sijakuelewa, unaposema Mungu wa namna ndio una maana gani?
Mungu Allah au Mungu gani?Uislamu umemfafanuaje mungu?