9345
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 308
- 979
Wakenya wengi kwenye mitandao ya kijamii wamebaki vinywa wazi baada ya kuvuja kwa video ikionesha jinsi mama alimuuwa kwa kisu mwanae wa miaka miwili na kisha kula baadhi ya sehemu za ndani za mwili wa marehemu.
Kitendo hicho kilitendeka huko Kitengela, kaunti ya Kajiado.
Harakati za majirani za kujaribu kuvunja mlango kusaidia kunusuru mtoto hazikufua dafu.
TAHADHARI : VIDEO HUENDA ITAVURUGA AMANI YAKOView attachment 2599155
Hii hapa video- KMMMMMMMAE
Huyu mwanamke ni shetani kabsa duuuh yaani mpaka nimelia, nimesisimka duuh kmmmmmmmaeeeeeeee