Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

Yeah nimeangalia...sijawahi kuumia hivi

Huyo mwanamke it's like kapata kichaa hivi
Maana ni anamchoma visu mtoto akiwa uchi, na anaongea vitu havieleweki

Kilichoniuma, anarudia kuchoma choma mtoto visu kama mara 200 hivi [emoji24]

Uwii sitaki kukumbuka
Mimi sijataka kuiona wala kuitafuta Witty!!!

Moyo wangu naujua[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Nimeona tu picha za huyo Dada nikajua tu atakuwa ana shida mahali...
 
Siwezi kuangalia ht niwekewe bastola...

Ile ya yule house girl alompiga mtt Uganda nilijidai kuangalia, sijachanganya km siku nne hivi...ile sauti ya mtt anavyolia kila wakati ilikuwa inanirudia rudia...

Kuna group nilimshambulia mtu mpk akaleft, alirusha clip mtt anashambuliwa na mbwa niliangalia kdg tu then nikamvaa, wenzangu wakaniunga mkono...mbona alileft

Mie saivi sina mtu anaenirushia chip za violence mana watu walikuwa wakinirushia maclip ya ajabu nawaambia hapo hapo na mtu namwambia ukiendelea nakublock
 
Mimi sijataka kuiona wala kuitafuta Witty!!!

Moyo wangu naujua[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Nimeona tu picha za huyo Dada nikajua tu atakuwa ana shida mahali...
Kuna clip moja nilirushiwa mwanamke anajifungua kwa operation...basi naangalia kdg then nageuza simu namuonesha mwanangu...then namuuliza enhee saivi anafanywa nini!!!?? Yaani kitendo cha kuona mwanzo tu anachanwa tumbo nikaanza kuogopa
 
Kamanda nisaidie PM hio meseji, japo pia naona haina madhara ukiiweka hapa. Ntashukuru
Watu mna hamu ya kuangalia hio video? Siwezi kuangalia video binti mdogo wa miaka miwili akifanyiwa ukatili huo. Never. Nikiangalia sitaisahau kwa maisha yangu yote
 
Haya matukio ya mauaji na haya ya ubakaji na ulawiti wa watoto wadogo hata ibilisi anashangaa
 
Kuna clip moja nilirushiwa mwanamke anajifungua kwa operation...basi naangalia kdg then nageuza simu namuonesha mwanangu...then namuuliza enhee saivi anafanywa nini!!!?? Yaani kitendo cha kuona mwanzo tu anachanwa tumbo nikaanza kuogopa
Wewe ni Mimi aisee...

Ile Video ya Uganda hadi leo sijawahi kuisahau...

Mimi tukio lolote nitakaloliona likaniumiza .Ni Moyo utaniuma...naweza kushinda hiyo siku utadhani naumwa..

Hata ya huyu Mtoto sijataka hata kujisumbua kuangalia sababu Moyo wangu naujua mwenyewe..
 
Nitumie Mimi pm pls
Watu mna hamu ya kuangalia hio video? Siwezi kuangalia video binti mdogo wa miaka miwili akifanyiwa ukatili huo. Never. Nikiangalia sitaisahau kwa maisha yangu yote
 
Yeah nimeangalia...sijawahi kuumia hivi

Huyo mwanamke it's like kapata kichaa hivi
Maana ni anamchoma visu mtoto akiwa uchi, na anaongea vitu havieleweki

Kilichoniuma, anarudia kuchoma choma mtoto visu kama mara 200 hivi [emoji24]

Uwii sitaki kukumbuka
Dada hongera una roho ya ujasiri mimi siwezi kwa kweli kuangalia
 
Wakenya ni jamii iliyolaaniwa. Wengi wao wameathiriwa na hali ngumu ya kimaisha. So sad
 
Back
Top Bottom