Wakenya wengi kwenye mitandao ya kijamii wamebaki vinywa wazi baada ya kuvuja kwa video ikionesha jinsi mama alimuuwa kwa kisu mwanae wa miaka miwili na kisha kula baadhi ya sehemu za ndani za mwili wa marehemu.
Kitendo hicho kilitendeka huko Kitengela, kaunti ya Kajiado.
Harakati za majirani za kujaribu kuvunja mlango kusaidia kunusuru mtoto hazikufua dafu.
TAHADHARI : VIDEO HUENDA ITAVURUGA AMANI YAKOView attachment 2599155
Uyo mwanamke Ni kichaa,
Huo Mgogoro umesingiziwa[emoji848]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jamani[emoji24][emoji24][emoji24]
Mkuu kuna watu wakikasirika akili hazifanyi kaziHuyo nchi zingine angepigwa risasi hapo hapo kwani sio mzima
Unyama wa hivyo utamhukumu nini zaidi ya kifo
Hakuna[emoji57]Nauliza tena
Nani kama mama?