Uchaguzi 2020 Kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Zanzibar, Maandalizi ya ujio wake usipime

Your browser is not able to display this video.

mwaka huu hamna pakujificha.
Your browser is not able to display this video.
 
😄😄😄😄
#Uchaguzi_2020
#Matokeo_20%
#Tundu lisu
#Degedege
 
Yaani kuweka bango ndiyo kutikisa?
 
Zanzibar ataishia tu kupata wadhamini hapati diwani Wala mbunge Wala mwakilishi baraza la wawakilishi .

Hata kura za Uraisi akizidi kura 100 Zanzibar nifukuzwe jamii forums

Kule atalijua jiji si huwa anajitia hataki muungano . Wanzanzibari watamuonyesha Cha mtema kuni wa CCM na Upinzani hawampi kura. Hata kidogo sababu anatoka bara
 
Wale vibwengo wa kijani wanapumlia mashine baada ya jaribio la kuuondoa uhai wa TAL kufeli,
hao vibwengo hawajawabi hata kuumba sisimizi maana hawana uwezo wowote bali Mungu pekee ndiye muweza katutunzia NI YEYE YULE

Vibwengo wanaisoma 2020
 
Uzi ulitoweka ghafla kwenye radar zangu, nikaishia kujiuliza tu nini kimetokea, maana nasubiria kuona uodates za Arusha nikashangaa zinaingia za Hai.
Ngoja niutafute tena
Ila Chadema media ina pwaya sana.. Hatupati updates kabisa. Na tv wameamuakujifnya hawajui kama Lissu na vyama vingine wako kwenye kutfuta kura.
Tuna pewa taarifa za NCCR n aVUF tuu..
 
Kabisa mkuu, na kama walikuwa wanamaanisha saa 1 asubuhi kwanini waandike kwenye form ya saa za kiingereza wakati tangazo lenyewe lote ni la kiswahili..

Kunahitajika umakini na uhariri kabla ya kupublish matangazo kama haya..
 
Magufuli aliangukia pua Zanzibar kwenye urais 2015
 
Chadema, laiti mambo yenu mngeyafanya kimya kimya nadhani heshima yenu ingebaki standard sana. Lakini naona kama vile mnajishushia hadhi yenu..sorry lakini sio kwa ubaya.
 
Sawa kabisa!
Kabisa mkuu, na kama walikuwa wanamaanisha saa 1 asubuhi kwanini waandike kwenye form ya saa za kiingereza wakati tangazo lenyewe lote ni la kiswahili..

Kunahitajika umakini na uhariri kabla ya kupublish matangazo kama haya..
 
Twendeni mdogo mdogo Saa yaja tena haiko mbali imekaribia ambapo Lissu atageuka kutoka kuwa mgombea urais wa JMT na kutaka kuwa Mkt wa cdm Taifa.
 
Hilo bango linasema saa 07.00 Asubuhi! Hakuna wakati kama huo duniani! Waambie warekebishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…