Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,912
Utakuwa Mkatoliki uchwara kama Mbelgiji wenu.Mimi ni mkatoliki ila namheshimu shehe PONDA kuliko yule jamaa anaitwa polikap kadinali pengo
Rais wa Tanzania ni Mhe. Rais Dr. Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa Mkatoliki uchwara kama Mbelgiji wenu.Mimi ni mkatoliki ila namheshimu shehe PONDA kuliko yule jamaa anaitwa polikap kadinali pengo
Wote msiopenda haki mmelaaniwa na Hilo ndio anguko lenu.Najua hayatawatisha Kwasababu mmezoea kufanya hivyo
Ila tutawachapa mbelgiji lissu atarudi ubeligiji bila kuaga
Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga, na wanaomuunga mkono Lissu wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
Huyu kiboko yake Da Mange .Hao ndio Masheikh tunaowataka wanaosimama upande wa haki .Sio Masheikh ubwabwa Kama huyu PimbiView attachment 1603353
Hii no miongoni mwa sababu za nyie kumchukia kwani hampendi kuambiwa ukweli.Waislamu Tanzania wataka uchaguzi huru na wa haki, wataja sifa za wagombea
Jul 09, 2020 15:32 UTC
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania ametoa mwito wa kufanyika uchaguzi huru na wa haki mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo.
![]()
Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa mwito huo leo Alkhamisi katika kikao na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusisitiza kuwa, vyombo husika vinapaswa kuhakikisha kuwa uchaguzi huo mkuu unafanyika katika mazingira ya amani, uhuru na haki.
Kuhusu sifa za wagombea wa uchaguzi mkuu, Sheikh Ponda amesema waraka uliotolewa na taasisi hiyo imeorodhesha baadhi ya sifa hizo kama ifuatavyo: mgombea awe mkweli na mwenye utu, awe mwenye kuheshimu kiapo, awe mwenye sifa ya kupiga vita ubaguzi wa aina zote na awe mwenye maarifa ya kutosha ya kuongoza watu na serikali.
Sifa zingine zilizoainishwa kwenye waraka huo wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania ni mgombea awe mwenye kuheshimu uhuru na mawazo ya watu wengine, mbali na kuzijua na kuziheshimu haki za binadamu. Kadhalika taasisi hiyo ya Waislamu wa Tanzania imetaka wananchi wasiwachague watu madikteta na wadhalilishaji katika uchaguzi huo wa Oktoba 28 ,2020
Huyu shekhe ubwabwa na ugaidi ameibuka tena au ndio atahamia mtwara
unakumbuka pengo na gwajima kipindi kile?Mimi ni mkatoliki ila namheshimu shehe PONDA kuliko yule jamaa anaitwa polikapi kadinali pengo
Hizi kauri bhana sisi wapnzan mhhhh!!Kwani tayari tuna Rais mpya? Hizi kauli bhana sisi wapnzan mhhhhh
Kwa hiyo unataka kusema milioni 29 waliojiandikisha kwa mujubu wa Tume Ni wote Ni CCM?Ukweli halisi ni kwamba ccm washaiba kura nyingi sana hata kabla ya uchaguzi.
Ukiangalia idadi ya wagombea wa ccm waliopita bila kupingwa kutokana na NEC kuwakata/kuwaengua wapinzani wao, huo ni wizi wa kura. Bado kuna wafanyakazi wa umma wanao tishwa wasipoipigia kura ccm, kuna walionyimwa haki ya kujiandikisha kutokana na imani zao za vyama, na pia kuna watakao koseshwa haki yakupiga kura kwa visingizio mbali mbali.
Kilicho baki ni kwa wale walio aminiwa na ccm kubadilisha gia angani tu. Lakini kama ni wizi tayari ulisha fanyika, na ni kwa bahati mbaya sana upinzani ulisha kubaliana na wizi wa aina hiyo nakuendelea na kampeni za uchaguzi.
Aisee ponda Kamaliza kazi.Tafadhali wekeni video alizoongea Shekhe ponda
Mimi niko neutral kwa hili. Huko kusini walikovamiwa ponda yupo huko? Hali ni tete hukoSisi wanachadema wenye akili tunapinga kumtumia Ponda,maana ana asili ya ugaidi.
Kati ya hao waisilamu hakuna mwanachama wa CCM?Anasema kura zote za waislamu apigiwe Lissu Tanzania mpya inakuja
Amsterdam mwaka huu atakuwa na kazi kubwa sana ya kumliwaza mtu wakeNajua hayatawatisha Kwasababu mmezoea kufanya hivyo
Ila tutawachapa mbelgiji lissu atarudi ubeligiji bila kuaga
Mbona yakwenu huko CCM yanawashinda unashupalia ya chadema? Tulia mnyolewe vizuri hiyo Oktoba 28Yeye kama nani anawasemea waislamu,acha upuuzi kamanda uchwara
Nadhani unamaanisha HAPANA.Ni haki yako,Ila mimi hapa.
Kwa hiyo wewe na dhulma damu damu. Ama na Mimi nimekuelewa ndivyo sivyo.Nadhani unamaanisha HAPANA.
Hata mimi na watu wapenda haki HAPANA, HAPANA HAPANA.