Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Mimi ni mkatoliki ila namheshimu shehe PONDA kuliko yule jamaa anaitwa polikap kadinali pengo
Utakuwa Mkatoliki uchwara kama Mbelgiji wenu.

Rais wa Tanzania ni Mhe. Rais Dr. Magufuli.
 
Waislamu Tanzania wataka uchaguzi huru na wa haki, wataja sifa za wagombea​

Jul 09, 2020 15:32 UTC
  • Waislamu Tanzania wataka uchaguzi huru na wa haki, wataja sifa za wagombea
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania ametoa mwito wa kufanyika uchaguzi huru na wa haki mwezi Oktoba mwaka huu 2020 nchini Tanzania.

Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa mwito huo leo Alkhamisi katika kikao na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusisitiza kuwa, vyombo husika vinapaswa kuhakikisha kuwa uchaguzi huo mkuu unafanyika katika mazingira ya amani, uhuru na haki.

  • Kuhusu sifa za wagombea wa uchaguzi mkuu, Sheikh Ponda amesema waraka uliotolewa na taasisi hiyo imeorodhesha baadhi ya sifa hizo kama ifuatavyo:
  • mgombea awe mkweli na mwenye utu,
  • awe mwenye kuheshimu kiapo, awe mwenye sifa ya kupiga vita ubaguzi wa aina zote na
  • awe mwenye maarifa ya kutosha ya kuongoza watu na serikali.

Sifa zingine zilizoainishwa kwenye waraka huo wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania ni mgombea awe mwenye kuheshimu uhuru na mawazo ya watu wengine, mbali na kuzijua na kuziheshimu haki za binadamu. Kadhalika taasisi hiyo ya Waislamu wa Tanzania imetaka wananchi wasiwachague watu madikteta na wadhalilishaji katika uchaguzi huo wa Oktoba 28 ,2020
 
Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga, na wanaomuunga mkono Lissu wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.

Rais wa Tanzania ni Mhe. Rais. Dr. Magufuli zingine zote hizo ni porojo za walevi na mbelgiji wenu.
 
Waislamu Tanzania wataka uchaguzi huru na wa haki, wataja sifa za wagombea​

Jul 09, 2020 15:32 UTC
  • Waislamu Tanzania wataka uchaguzi huru na wa haki, wataja sifa za wagombea
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania ametoa mwito wa kufanyika uchaguzi huru na wa haki mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo.

Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa mwito huo leo Alkhamisi katika kikao na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusisitiza kuwa, vyombo husika vinapaswa kuhakikisha kuwa uchaguzi huo mkuu unafanyika katika mazingira ya amani, uhuru na haki.

Kuhusu sifa za wagombea wa uchaguzi mkuu, Sheikh Ponda amesema waraka uliotolewa na taasisi hiyo imeorodhesha baadhi ya sifa hizo kama ifuatavyo: mgombea awe mkweli na mwenye utu, awe mwenye kuheshimu kiapo, awe mwenye sifa ya kupiga vita ubaguzi wa aina zote na awe mwenye maarifa ya kutosha ya kuongoza watu na serikali.

Sifa zingine zilizoainishwa kwenye waraka huo wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania ni mgombea awe mwenye kuheshimu uhuru na mawazo ya watu wengine, mbali na kuzijua na kuziheshimu haki za binadamu. Kadhalika taasisi hiyo ya Waislamu wa Tanzania imetaka wananchi wasiwachague watu madikteta na wadhalilishaji katika uchaguzi huo wa Oktoba 28 ,2020
Hii no miongoni mwa sababu za nyie kumchukia kwani hampendi kuambiwa ukweli.
 
Kw
Ukweli halisi ni kwamba ccm washaiba kura nyingi sana hata kabla ya uchaguzi.
Ukiangalia idadi ya wagombea wa ccm waliopita bila kupingwa kutokana na NEC kuwakata/kuwaengua wapinzani wao, huo ni wizi wa kura. Bado kuna wafanyakazi wa umma wanao tishwa wasipoipigia kura ccm, kuna walionyimwa haki ya kujiandikisha kutokana na imani zao za vyama, na pia kuna watakao koseshwa haki yakupiga kura kwa visingizio mbali mbali.
Kilicho baki ni kwa wale walio aminiwa na ccm kubadilisha gia angani tu. Lakini kama ni wizi tayari ulisha fanyika, na ni kwa bahati mbaya sana upinzani ulisha kubaliana na wizi wa aina hiyo nakuendelea na kampeni za uchaguzi.
Kwa hiyo unataka kusema milioni 29 waliojiandikisha kwa mujubu wa Tume Ni wote Ni CCM?
 
Ponda asema kura zoooooote za Waislamu ziende kwa Tundu Lissu kwa Tundu - Namuunga mkono!

Back
Top Bottom