Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi


HDI
 

Mkuu umeongelea umasikini wa mkoa wa kagera sijui nawe ulikua una lenga kipi kati ya hivyo ulivyo taja ila mimi nilikujibu interms of gdp per capital.
 

Mkuu uko sawa kweli,hivi unasomaga hata historia,kuna miji ina kua na kufa kutokana na sababu mbalimbali.
 
Kiuhalisia ni ngumu kumfanya mkristo kuwa muislamu ila ni jambo gumu sana kumfanya muislamu awe mkristo unajua kwanini?

Rahisi sana kumfanya muislam kuwa mkristo njoo kawe uone.

Na uislamu ni dini dhaifu ndio mana nchi za kiisalmu wanapinga sana ukristo mana wanajua siku wakiruhusu misikiti itabaki mitupu.
 
Kilimanjaro watu wanapiga kazi, wanajenga shule zao bila msaada tofaut na KISIJU na maeneo jirani. Kisima cha maji tu msaada toka Kuwait

Ni watu walio na fikra duni wameaminishwa na waarabu kuwa dunia hadaa wajiandae na pepo huku mwarabu akiwafirimba.
 
Ni watu walio na fikra duni wameaminishwa na waarabu kuwa dunia hadaa wajiandae na pepo huku mwarabu akiwafirimba.
Mwarabu anabadilisha Jangwa kuwa mji wa biashara huku Kisiju wanaletewa tende za misaada wakati wa kufuturu
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
@Andrew123 Babu Kuna watu hata hawaswali na wanapiga hizo kazi unazotaka ww na bado maisha Yao ni ya kawaida.?? Unataka kusema kuwa usipokuwa unaswali ndio unapiga kazi sana unatengeneza Hela sana? Acha fikra potofu kuwa kuswali sana ni kupoteza nguvu kazi.?? Kwani huko makazini Kuna nini Cha ziada watu si wanachart tu.?? Kwahiyo kutumia dakika 15 kwenda kuswali ndio nongwa mpaka inaandika na thread kabisa.!
 
Umewahi kufika Kisiju?
 
Nitajie eneo moja Tanzania ambalo halina ushirikina?



Hoja ni kujifanya kuswali swala zote ilihali mtu ni Mchawi na mshirikina.

Huko kwingine wachawi wapo lakini hawaswali kiivyo swala zote,

Mtu anae swali/Sali inatarajiwa awe mtenda mema ,
Mtu asojaa husuda na chuki zidi ya mtu mwingine,
Lakini mtu anajifanya kuswali/kusali ilihali moyoni ni muovu muuaji inafaida gani?!

Ndiyo maana maendeleo yanachelewa na nchi kuwa gizani pamoja na kupata Uhuru kwa zaidi ya miaka 60
 
Kwahiyo unataka kusema nini? Waislam waache kuswali kwa sababu kuna wachawi wanaswali?

Nyinyi watu mna matatizo.
 
Dini zimewaharibu sana Waafrika tofauti na zilikotokea.
 
imebidi niingie google images kuiangalia Kisiju ipoje. picha yake ya kwanza tu ikanikumbusha location za tamthilia za akina Madebe Lidai. kumbe filamu zao wanachukulia huku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ingekuwa hawatakufa sawa. Au wadhani ukifa ndo basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…