Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Uislamu hata kunya,kukojos ni ibada.
Uislamu umefundisha hadi adabu za kukidhi haja.

Sio mtu anakojoa tu hovyo na kujirushia tu mikojo, au anafanya haja kubwa halafu wala hajisafishi vizuri.

Uislamu ni usafi.
 
Uislamu umefundisha hadi adabu za kukidhi haja.

Sio mtu anakojoa tu hovyo na kujirushia tu mikojo, au anafanya haja kubwa halafu wala hajisafishi vizuri.

Uislamu ni usafi.
Naam Shehe
 
Bonge ya story nimecheka sana😀
 
Huna uelewa
 
Kwahiyo tuseme wasio mjua Mungu wanafanya kazi kwa bidii kisha wanawasaidia wenye Mungu ?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo biere ikawa sio katazo wala kosa ha ha ha ha ha
 
wanaangalia mtu na mtu Israel wanajua shughuli hata aje Allah hakuna kitu atafanya kwa Israel.Kilichobaki ni Israel kuwafyekelea mbali magaidi wa Hamas na kuwaacha Palestina waishi kwa amani.
 
Kule hakufai kabisa. Pamesahaurika sana. Watu hawaendi shule, badala yake ni Madrasa, akipiga zake Madrasa miaka minne tayari ni msomi wa heshima.
Kinywaji adui kuliko vyote kule ni 'Fanta'[emoji2]. Fanta ina historia yake kule[emoji3]
ndo maana hata magaidi wa kibiti mkuranga ŵansitumia sana.
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Vp na wale wanaoshinda kutwa kwa mwamposa [emoji1]
Huu uzi wako umeleta balaaa

Ova
 
Hata yesu na wanafunzi wake walivaa kanzu na makobazi

Soma kwenye red,
View attachment 2782503
Ila kama kawaida yenu.

Kwenu dini ni kufatisha viwapendezavyo roho na nafsi zenu na kuacha msivyovipenda hata kama yesu alivifanya na kuviishi.
Hiyo makobanzi umeiongeza mwenyewe hapo pameandikwa mkoba wewe unaweka uongo eti makobanzi daa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…