Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Yeye anawaongoza huku wewe unaperuzi kimya kimya JFHii itamkomaza zaidi kudai haki za kisiasa na zaidi katiba mpya. Huyu ni mtoto wa ubatizo wa shujaa. Naye ni shujaa anapitia katika tanuru la moto atakwiva na kutuongoza kwenda nchi ya ahadi siyo siku nyingi. Aluta Continua
Mtumishi anateleza na msafara wa mav8 Kama Geor davy wa arusha muumini kakwaruliwa pesa yote hana nauli wala yakula!! Hajiulizi huyu mtumwema kwanini asinunue basi apande na waumini wake kurejea makwao?? Tunakipaji chauzuzuTanzania tupo wajinga wengi...utakuta jitu linatoa sadaka yote afu linatembea kwa mguu majasho hoi hoi huku mtumishi akitanua maisha ya anasa kwa sadaka.
Hapo kinachokuchekesha ni nini wewee?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
He should retire..
Duhh...Hakuna aliyewahi kupambana na Mbowe akafaulu! Maushungi soon ataaibika na kuvuliwa nguo
Watashindana hawatashinda.Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali...
Kwa hili la kutungia sheria mpya haya makanisa - sitalipinga maana mengi ni ya wapigaji.Mtumishi anateleza na msafara wa mav8 Kama Geor davy wa arusha muumini kakwaruliwa pesa yote hana nauli wala yakula!! Hajiulizi huyu mtumwema kwanini asinunue basi apande na waumini wake kurejea makwao?? Tunakipaji chauzuzu
Hahaa wanaona aibu. Walioianzisha wanajifanya kama hawapo.serikali yako inaendesha kesi hii kisanii na kwa kuviziavizia.. wameona leo wale wanaofadhili serikali hawaji kusikiliza ndio wamemleta. nnji hii kwa usanii ni hatari sana
Ngoja tujipe Muda. Mbowe hana hatia. Amekuwa msafi miaka yote. Ukimgusa ananukaHakuna aliyewahi kupambana na Mbowe akafaulu! Maushungi soon ataaibika na kuvuliwa nguo
Mungu mbariki
Nchi hii kuna mambo ya aibu sana na kuleta kichefu chefuNausikia mjadala umepamba moto ndani ya daladala na anatajwa zaidi Mbowe na tsh 600,000/=
Kunani waungwana?
Ni dhamana au fine?
Mungu ni mwema wakati wote!
Mtu mwenye Haki Anaishi kwa Haki. He is Freeman. Mungu wa Jeremia mtazame kiumbe wako. Msimamie na kumnyoshea Mkono wako wenye nguv
Hii inaonyesha ni kwa kwa namna gani hawa polisi kwao 600,000 ( laki sita) ni hela ndefu sanaNchi hii kuna mambo ya aibu sana na kuleta kichefu chefu
Tuombe Mungu iwe ni Faini Aachiwe na kurudi Kumtumikia Mungu na wanadamuNausikia mjadala umepamba moto ndani ya daladala na anatajwa zaidi Mbowe na tsh 600,000/=
Kunani waungwana?
Ni dhamana au fine?
Mungu ni mwema wakati wote!
Ameeen
Ulizaliwa kwa bahati mbaya kabisa ina inaonekana ilikuwa ni 'watu wananya starehe' lkn hakukuwa na mpango wa uzazi