Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

Tulio ishi ADA ESTATE,Hilo la bi mkubwa kuhamisha mchanga ni kweli, Sema mzee alikuwa mkoloni dah na pick up lake pale home, Mkewe anaenda Mbuyuni shuleni na mguu dah
Sahihi kabisa. Wakazi wa ADA ESTATE na Kinondoni shamba miaka hiyo hatushangai tukisikia kuhusu ukatili wa huyu mzee.

Wamaza wetu walikuwa wanatuhadidhia kila siku madhira aliyokuwa anapitia Mama Janet.

Nchi hii mifumo ilishakufa kabisa ndo mana yule mzee alifika hadi kuwa Rais wa nchi hii.
 
Kwanza familia ya Magufuli ikiamua inaweza mfungulia kesi ya madai kwa kutumia picha yake kuuza kitabu bila ya ridhaa yao.

Uwezi kuokota tu picha ya mtu for commercial exploitation bila ya ridhaa yao,
Familia wana haki na hiyo picha kwa mujibu wa sheria ipi? zipi?
Ingekuwa Magufuli kasifiwa bado ungesema familia wafungue kesi maana picha ya mpendwa wao imetumika kuuzia kitabu?
 
The title of the book can be translated "KWA JINA LA RAIS", YES........ lakini the best translation ni "MAAGIZO TOKA JUU......."

Rais ktk mifumo mingi ya utawala wa "u - Rais" au "presidential democracy" ndiye mwenye mamlaka ya juu na ya mwisho yenye nguvu ya kuumba na kubomoa....

Kwa hiyo msemo wa "ni maagizo toka juu" ndiyo unaotawala na maarufu hadi sasa...

"Maagizo toka juu" hayajali sheria, katiba, haki za binadamu wala heshima, ubinadamu wala utu...

Ni culture mbaya iliyopaliliwa na kumea sana wakati wa Mwendazake John P. Magufuli na mbegu hiyo inaendelea kukuzwa na kupaliliwa tena na u - Rais wa huyu bibi wa Kizimkazi, Zanzibar...
 
Ni culture mbaya iliyopaliliwa na kumea sana wakati wa Mwendazake John P. Magufuli na mbegu hiyo inaendelea kukuzwa na kupaliliwa tena na u - Rais wa huyu bibi wa Kizimkazi, Zanzibar...
Wajanja kwa masilahi yao wanapita nayo kuwa "maagizo toka juu" kwa Mama, lakini Mama siyo wa hivyo kabisa. Tofauti yake na Dikteta ni usiku na mchana
 
Soma mauaji mengine ya Magufuli hapa chini.

UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO

👉Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha.

👉Mwaka 1990 Mwalimu Magufuli alichuana tena na Mkulima Kabuye kwa mara ya pili. Kabuye alimshinda tena Magufuli na kutetea kiti chake.

👉Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, jimbo la Biharamulo liligawanywa na kupatikana majimbo mawili (Biharamulo Magharibi na Mashariki). Kabuye aligombea Magharibi akashinda. Magufuli nae akagombea Mashariki na kushinda kwa mara ya kwanza baada ya mpinzani wake wa muda mrefu kwenda magharibi.
Baadae jimbo la Biharamulo Mashariki lilibadilishwa na kuitwa Chato..
Miaka kadhaa baadaye Phares Kabuye alifariki kwa ajali Morogoro.
RIP Phares kabuye

"Bila kuigawa Biharamulo mara mbili nazani sasa hivi John pombe magufuli angekuwa mwalimu mstaafu"

Anayemtetea Magufuli ni mshenzi tu.
 
Hatari kweli kweli...
 
Kaka Hawa ni watumbuliwaji ambao hata baada ya mwendazake kuwa ameshaondoka zake, wao mpaka leo hii wameshindwa kurudi kwenye system na hawana tumaini lolote, hivyo wamebaki kulia Lia tu huku mitandaoni huku wakimlaani Magufuli Kwa kuvuruga hatima ya maisha Yao.

Na taarifa kama hizi za Kumpondea sana Magufuli ndio angalau Huwa zinawapa relief kutokana na machungu waliyonayo...!!

Kwa ufupi tu Kwamba system ya Samia haiwataki, na wanazidi kuwa maskini wakati huo wenzao waliorudi kwenye system wanazidi kuwa matajiri kupindukia na hawana muda na kumuwaza Magufuli.
 
Unajua kinachonishangaza eti hadi Hawa machawa wa Samia akiwemo huyo mzee Stuxnet na wenyewe wamepitiwa na huu upepo now wako bize ku-support na ku-spice up hizi habari za Kibendera.

Kwa akili zao ndogo hawajui kwamba hizi tuhuma zinamgusa Moja Kwa Moja mpaka Samia mwenyewe, maana yeye ndio alikuwa msaidizi mkuu wa Magufuli, na kama hiyo haitoshi hata vyombo vya ulinzi anavyotumia Samia ndio vile vile ambavyo vilifanya kazi na Magufuli.

Kwa hiyo ni dhairi kama Kuna athari yoyote itakayotokana na hiki kitabu basi, basi muathirika mkuu itakuwa ni serikali ya Samia na Wala sio mtu mwingine...

Hakika hakuna chawa mwenye akili hata kidogo.
 
Kwanza kama alikuwa anawaandikia watanzania Kwanini ameandika Kwa hiyo lugha?

Ni watanzania wangapi wanayoielewa hiyo lugha??
 
Wajanja kwa masilahi yao wanapita nayo kuwa "maagizo toka juu" kwa Mama, lakini Mama siyo wa hivyo kabisa. Tofauti yake na Dikteta ni usiku na mchana
Ndio utetezi Gani huu?

Kwamba uovu unaofanyika awamu hii Samia hausiki hata kidogo Bali ni watu wanatumia mamlaka waliyopewa Samia kufanya uovu huo Kwa maslahi Yao binafsi sio???

Ila kipindi Cha magufuli uovu wote uliokuwepo, ulifanywa na Magufuli mwenyewe si ndio?

Wewe mzee nilishakwambia Huwa ni MPUMBAVVU wa kiwango Cha mwisho sijui kama ulinielewa...!!

Kwanza Kwa umri wako wa miaka 66 Sasa, haya mambo ya uchawa ungewaachia wajukuu zako ambao ni wajinga wajinga kama wewe Babu Yao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…