Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ngoja nikitafuteHiki kitabu ni cha kusoma si kusimuliwa, kwani makelele yamekuwa mengi sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikitafuteHiki kitabu ni cha kusoma si kusimuliwa, kwani makelele yamekuwa mengi sana!
Huu mwaka umeanza hivi?Mbona unajua mengi sana kumbe wewe ndio mke mdogo wa marehemu!
Sahihi kabisa. Wakazi wa ADA ESTATE na Kinondoni shamba miaka hiyo hatushangai tukisikia kuhusu ukatili wa huyu mzee.Tulio ishi ADA ESTATE,Hilo la bi mkubwa kuhamisha mchanga ni kweli, Sema mzee alikuwa mkoloni dah na pick up lake pale home, Mkewe anaenda Mbuyuni shuleni na mguu dah
Peleka ushahidi Mahakamani au polisiBen saa nane ni kazi ya Mbowe ila wajinga hamjui
Familia wana haki na hiyo picha kwa mujibu wa sheria ipi? zipi?Kwanza familia ya Magufuli ikiamua inaweza mfungulia kesi ya madai kwa kutumia picha yake kuuza kitabu bila ya ridhaa yao.
Uwezi kuokota tu picha ya mtu for commercial exploitation bila ya ridhaa yao,
The title of the book can be translated "KWA JINA LA RAIS", YES........ lakini the best translation ni "MAAGIZO TOKA JUU......."View attachment 3190112
Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa
Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi.
Anaelezea jinsi alivyotekwa nyara, kufungwa, na hali ya kisiasa iliyojaa ukiukwaji wa haki za binadamu na kukandamiza sauti za upinzani. Kitabu hiki ni onyo kuhusu udhaifu wa demokrasia na hatari wanazokumbana nazo wale wanaopinga utawala wa kiimla.
Kitabu kinatarajiwa kuchapishwa tarehe 3 Februari 2025.
Wajanja kwa masilahi yao wanapita nayo kuwa "maagizo toka juu" kwa Mama, lakini Mama siyo wa hivyo kabisa. Tofauti yake na Dikteta ni usiku na mchanaNi culture mbaya iliyopaliliwa na kumea sana wakati wa Mwendazake John P. Magufuli na mbegu hiyo inaendelea kukuzwa na kupaliliwa tena na u - Rais wa huyu bibi wa Kizimkazi, Zanzibar...
Ka- flag ni CHADEMA?Ila Chadema 🐼🐼
Hiki kitabu kinauzwa amazonAtauzia wajinga wenzie!
Hata Lissu hanunui hizo karatasi
Convert into TZS????Bei hii hapa kwa Kindle na kwa Amazon:-
View attachment 3190393
HakikaHakika hiyo picha iliyobeba kitabu inavutia kukinunua, ni muhimu kukisoma lazima atakuwa amefunguka mengi zaidi tusiyoyajua Eric Kabendera
Hasa Mbowe!!Ila Chadema 🐼🐼
"Tumeacha muda ujibu"!Thread 'Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote' Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote
CDM wamekufanyaje bwa shee!!Ila Chadema 🐼🐼
Hatari kweli kweli...Sahihi kabisa. Wakazi wa ADA ESTATE na Kinondoni shamba miaka hiyo hatushangai tukisikia kuhusu ukatili wa huyu mzee.
Wamaza wetu walikuwa wanatuhadidhia kila siku madhira aliyokuwa anapitia Mama Janet.
Nchi hii mifumo ilishakufa kabisa ndo mana yule mzee alifika hadi kuwa Rais wa nchi hii.
Kaka Hawa ni watumbuliwaji ambao hata baada ya mwendazake kuwa ameshaondoka zake, wao mpaka leo hii wameshindwa kurudi kwenye system na hawana tumaini lolote, hivyo wamebaki kulia Lia tu huku mitandaoni huku wakimlaani Magufuli Kwa kuvuruga hatima ya maisha Yao.Aaargh
Wenzako waliokuwa wanamchukia sasa hivi wanatajirika balaa, hawana shughuli nae tena
Kama chuki zako hazina uhusiano na deal, sijui usaidiwe vipi.
Halafu mama aliingia na bahati ya kumwagiwa mihela na wazungu. Uoni deni la taifa lilivyokuwa.
Wenzako matajiri
Unajua kinachonishangaza eti hadi Hawa machawa wa Samia akiwemo huyo mzee Stuxnet na wenyewe wamepitiwa na huu upepo now wako bize ku-support na ku-spice up hizi habari za Kibendera.Life goes on
Unadhani huko serikalini wana shughuli tena na huyo Magufuli
Watu wanaangalia 2025, washatoka huko kwa Magufuli; yao yanaenda.
As far as mafisadi are concerned ‘asiekuwepo na lake halipo’.
Ni muda sasa na wewe u-move on kama wenzako.
Kwanza kama alikuwa anawaandikia watanzania Kwanini ameandika Kwa hiyo lugha?Kwa vile kitabu hicho itakuwa ngumu kuuzika kwa uwazi hapa Tanzania, na kukinunua Amazon bado asilimia kubwa ya Watanzania hawaelewi basi Kabendera aki release Free online katika PDF ili Watanzania wawe na uelewa wa viongozi wao na wasiwakubali ki mihemko hemko.
Atakuwa kalisaidia sana Taifa
Ndio utetezi Gani huu?Wajanja kwa masilahi yao wanapita nayo kuwa "maagizo toka juu" kwa Mama, lakini Mama siyo wa hivyo kabisa. Tofauti yake na Dikteta ni usiku na mchana