miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
CV bongo?Tafuta CV ya Silvia huyo demu wa alietakiwa awe MD wa voda alafu uje ucoment Tena hapa kwenye Uzi huu
Nani anawashobokea? I worked na wahindi twice. Wa kwanza walikua waswahili so haikinipa shida. Hawa wa pili niliona kila kufokewa kama mtoto. Hata kosa hulijui. Yaan wanatorture. Akiwa anagomba nikaenda kwenye printer nikaandika resignation letter nikamcoppy na director. Anaendelsa kuongea nikampa barua yake anashangaa ananambia come and we talk like a brother and sister nikamjibu tu my mom do not own such a big boy like you sir, am sorry. Good luck. And i walked away just like that. Yaan kila akiingia ofisini nilikia najikuta nashiver kwa kufokewa na sababu huioni na hata yeye hajui anagomba nn. Kuna mwingine akawa nae ananifokea hapohapo. Nikamwambia young man, u came from india all the way to here to be the store manager and yet yelling at me? Are you forgetting that you are an employee just like me? I demand my respect. Aliogopa maana hakuelewa napata wapi hiyo confidence. Basi tukaishia hivyo. Heshma ikawepo na akawa ananisalimia. By the way... mada haiwahusu wahindi. Hapa tunajadili wakenya.mbaya zaidi wahindi mnawashobokea zaidi.
Walichofanya voda ni kumpa cheo Hendi ambaye tayari alikua Tanzania hapa hapa. Wakati mwingine serikali inapunguza wageni kuja huku kula bata bila sababu za msingi. Mbona Voda walimuweka Hendi? Yule Mkenye alikua wa kazi gani sasa?"Tanzania is a sovereign state"🙇
Hiki kibwagizo mpk kinachosha.
Namsaidia mleta mada.
Reasons zinazowekwa public kukatalia wakenya ni kua kwani sisi hatuna mtu wa kujaza hizi positions mpk aje mkenya?
Then hizo hizo position tunakuja skia kapewa mtu mwingine mgeni.
NB: sitakujibu hata ukiijibu hii post sema nita like post yako. Maana nimehisi ni mmoja wa wale mtu akisema anything against mawazo ya wale anatazamwa kwa jicho la tatu wakati kiuhalisia facts ndio mpango mzima especially Karne hii.
yana roho mbayaKwetu wako watatu walishafukuzwa[emoji1787]
Yaan ni wajuaji balaa. Balaa balaa. Me nimetooka huko. Hakuna rangi wanaacha ona. Wapuuzi sana. Wakielekezwa hawasikii. Kila siku na saa ni meeting. Watu hawaendi field wale product managers. Vikao vya kijinga tu. Halaf wanabana masilahi wao wanajijazia
Mmisri yule alikua hapa hapa bongo. Hakuwa njehujaelewa, kampuni ya VODACOM ndio ilimchagua mkenya awe mkurugenzi wa VODACOM TANZANIA , Serikali ya tanzania ikamnyima kibali, kampuni ya vodacom ikamchagua tena mmisri awe mkurugenzi wa vodacom tanzania, serikali ikampa kibali, hiyo ndio hoja ya mleta mada
Ninachojiuliza ni hiki:
Kama Vodacom walimchagua mkenya na serikali ikakataa kutoa kibali kwa madai kwamba hata watanzania wapo wanaoweza kushika nafasi hiyo, iweje Vodacom wakamtafuta mtu mwingine kutoka nje tena (Misri) badala ya kumtafuta hapo hapo kwetu Tanzania na bado serikali ikampa kibali? Ina maana hiyo sababu iliyotolewa na serikali ya kumnyima kibali mkenya ilikuwa ni geresha tu kwa umma.
Naunga Mkono hoja,Hili swala liko kiusalama zaidi.Na sasa hivi hatumuamini mtu yeyote.Sababu nyingine ni za kiusalama. WAKENYA WAPO KUFANYA MISSION FLANI. MAGU YUPO MACHO
Mmisri ana sifa ambazo watanzania hawana?Bila sababu kivipi wakati, imeelezwa uwezo na vigezo alichonacho huyo mkenya wapo watz wenye uwezo kama huo kwahyo sera ya ajira na kipaumbele lazma izingatiwe
Elimu gani waliyonayo kila siku wakijenga madaraja na majeno yanabomoka?Una compare education level ya Tanzania na Kenya?
Infrastructure ya Tanzania na Kenya?
To mention just a few.
Babadua mwenyewe from now on.
Uki reply hii post sitakujibu coz unaonekana you are one of those sifia sufia zuri baya twende kazi. Piga makofi ya yes kinda dude.
Kwa kumalizia hata confidence level ya individual Kenyan ni hali ya juu compared to us. Nimeshawah kuishi ughaibuni sehem kadhaa wakenya they are all over the place with top positions.
Unafiki tuache. Wabongo tumekua watu wa kujifungia fungia. Tukitoka sana kwenda ku work tumejazana Oman.
Vibayaaa mnooyana roho mbaya
Sasa unatupangia?Ishu ni kwamba wananyimwa wa Kenya kwa kusema hata watanzania wapo wenye sifa matokeo yke hawapewi watanzania wanapewa watu wamataifa mengine tena ya mbali.