Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

Mleta mada naheshimu mawazo yako lakini hayana msingi wowote kwa mtu mwenye akili timamu.
Imagine rais angesimamisha hotuba kwa hizo dakika 3 akiwa anakunywa maji/juisi nayo ingekuumiza moyo wako?
Acha uduanzi wa kingese aisee.
 
Kabla ya uwepo wa hizi spika ilikuwaje sijui?
 
Yeye ataheshimu dini yako inayoruhusu kula kiti Moto. Wanawaua nguruwe ukifuga karibu nao hata Kama wamekukuta unafuga wao wakiwa wageni
Wapi hii mkuu? Mbona nchi nzima kitimoto kinafugwa hatujasikia kuuawa?
 
Kaiga kwa kenyata
 
Pole sana kafiri!!!
 
Sasa ulitaka aongeze sauti au?
 
Duh wewe una matatizo mbona hata Kenyatta na mkristo mwaka Jana kwenye mazishi ya JPM alinyamaza aliposikia adhana hukusema kitu?..kweli serikali haina Dini Ila watu wake Wana Dini ndo maana Kuna mapumziko ya Eid,Pasaka,Krismass na kadhalika mbona hukugoma unaona adhana tu?..

Uungwana ni vitendo.
 
Sijaelewa tatizo liko wapi kwa hilo.
 
Tardy...
Hayo usemayo yana kitu kimoja ambacho ni makhsusi.

Imethibitika kuwa ukiona mtu anashambulia Uislam na atajifanya na kuushambulia Ukristo pia kwa kauli za dini zilizoletwa na Waarabu na Wazungu wote huwa ikiwa wamekana dini basi zamani walikuwa Wakristo.

Hata hapo walipokuwa Wakristo walikuwa na chuki na Uislam.

Chuki hii huwa wanahamanayo kwenye dini yao mpya hiyo ya kujifaya si Muislam wala Mkristo.

Ningependa sana kujua zamani kabla ya kuhamia hiyo dini yako mpya ulikuwa muumini wa dini gani?

Nina hakika kabisa hukuwa Muislam.
Maneno yako hayo hayanishangazi.
 
Cku ya kung'oka roho utajua vzr tu
 
Mdogo mdogo kama Zanzibar! Ikawa nchi yenye bendera na serikali yake.
Tutaanza kuzuia magari mda ukifika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…