Voicefromvoiceless
Member
- Sep 14, 2023
- 82
- 74
- Thread starter
-
- #21
Wale wakutefemea 9-5, utawajua , Wana mawazo ya kuajiriwa , hawana mawazo chanya, wanaoshindwa kufikirria Kwa Kutumia akili, wewe unawaza kuajiriwa, hujue adha za kilimo na hustle za watu waliyojiajiri,Hakuna akili kuna mafuvu tu
Wale wakutefemea 9-5, utawajua , Wana mawazo ya kuajiriwa , hawana mawazo chanya, wanaoshindwa kufikirria Kwa Kutumia akili, wewe unawaza kuajiriwa, hujue adha za kilimo na hustle za watu waliyojiajiriHakuna akili kuna mafuvu tu
Hivi unadhani Kumiliki Hela ni jambo dogo? Mtaji wa Gunia mia mbili za Mbazi ni zaidi ya 55Millioni, ni mshahara wako Hadi una staffNafikiri wengi ni madalali
Unajuwa hasara kweli wewe ? Au wewe ni yule aliyenunua Mabasi na Hela ya kinua mgongo Cha kustafu , mwisho wake akaishia kufungua Banda la Chipsy!!Kusafirisha hadi Dar, unaweza ukapta hasara kubwa sana, kwanza madalali+garama za kusafirisha
Kwa sh. Ngapi gunia?Hivi unadhani Kumiliki Hela ni jambo dogo? Mtaji wa Gunia mia mbili za Mbazi ni zaidi ya 55Millioni, ni mshahara wako Hadi una staff
Ukitaka kujua kumiliji Hela ni kazi, angalia una miliki Nini? Ukitoa salary loan yako?
Walio fungua banda la chips hawana akili?Unajuwa hasara kweli wewe ? Au wewe ni yule aliyenunua Mabasi na Hela ya kinua mgongo Cha kustafu , mwisho wake akaishia kufungua Banda la Chipsy!!
Walio fungua banda la chips hawana akili?hakuna alitesema hivyo elewa kwanza kiswahili
Gunia Lina kati ya kg 116 Hadi 124 wastani wagunua ni kg 120 Kwa Bei ya Dar es salaam ni 290000/ Kwa Gunia la kg 120Kwa sh. Ngapi gunia?
Kiteto naifahamu kidogo, maeneo ya matui, kazi ngumu, chekanao , pori kwa pori , kibaya yenyewe, sehemu zote hizo ni wakulima wa mahindi tu. Mbaazi kidogo sana, wapi mtu mmoja atavuna gunia 60000?
Kiteto naifahamu kidogo, maeneo ya matui, kazi ngumu, chekanao , pori kwa pori , kibaya yenyewe, sehemu zote hizo ni wakulima wa mahindi tu. Mbaazi kidogo sana, wapi mtu mmoja atavuna gunia 60000?
Warangi wanapambanaHizo ni kg Ndugu yangu Kg 60,000. Ni Tani 60. Wastani wagunua 550 za kg 120. Hivi ni vitu vya kawaida Kwa Wilaya
Hizo ni kg Ndugu yangu Kg 60,000. Ni Tani 60. Wastani wagunua 550 za kg 120. Hivi ni vitu vya kawaida Kwa Wil