Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

Juzi nimeona kwenye taarifa ya habari, nadhani ni utv wale,wenzao lindi wanasifia bei ya 1950.
Ila nilipoona wasifiaji wamevaa nguo za kijani na njano, nikapata mashaka na habari ile.😂🤣
 
Juzi nimeona kwenye taarifa ya habari, nadhani ni utv wale,wenzao lindi wanasifia bei ya 1950.
Ila nilipoona wasifiaji wamevaa nguo za kijani na njano, nikapata mashaka na habari ile.😂🤣
Hizi mbazi zinatofautiana ubora mbazi ya Kusini ni Tofauti na Mbazi za Kiteto na Kondoa huwa zipo juu sokoni.
Hata kwenye Mahindi ya Kiteto na Dodoma ni Bei Juu sokoni kuliko ya Handeni Tanga
 
Wahuni wameweka hiyo mifumo kumnyonya mkulima na kumdhoofisha kiuchumi wala hakuna la zaidi,ccm na viongozi wake ni majambazi.
 
Juzi nimeona kwenye taarifa ya habari, nadhani ni utv wale,wenzao lindi wanasifia bei ya 1950.
Ila nilipoona wasifiaji wamevaa nguo za kijani na njano, nikapata mashaka na habari ile.[emoji23][emoji1787]

Chawa wa kijani wale,though watu wa kusini wamefarijika na hiyo bei mana ilifikia kipindi kilo ya mbaazi ilikua 100tsh[emoji28]
 
Hao "watu" unaotaka wapewe vibali vya kusafirisha mbaazi kupeleka Dar ni wakulima au madalali?
Wakulima wakubwa Wana mashamba yanayontesha hizo mbazi zimetoka Shambani , mtu ana trekta mbili ama tatu atakosaji mbazi kuanzia Gunia 200 kwenda mbele
 
Zile nyany za Ali Hapi si zitaoza?
 
Wakulima wakubwa Wana mashamba yanayontesha hizo mbazi zimetoka Shambani , mtu ana trekta mbili ama tatu atakosaji mbazi kuanzia Gunia 200 kwenda mbele
Hakuna tatizo kwa mkulima kupewa kibali cha kuuza hata nje ya nchi, kinachotakiwa ni utaratibu tu ili wakulima wasijiharibie wenyewe bei na soko.
 
Wakirudisha Kadi Za Chama Dollar Tunapandisha Bei
 
wababaishaji tu hao juzi walitangaza mnada utafinyika community centre kutokana na bei kiduchu watu wakagoma,baadaye wakabadili gia oh mnada utafanyika sleepway kwa mama tanesco cjui ni akili gani hii, au mama tanesco ndo ataongeza dau
 
Wewe kwa nini usitafute kibali, ukanunua kwa bei hiyo mbaazi zote za Wakulima ukaenda kula faida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…