Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

Hongera zako.

Mimi Dar kwetu tangu siku za kabla ya Mjerumani kuja.

Baba yake bibi yangu kajenga kanisa hapo Azania Front, wamemaliza kujenga mwaka 1903.

Niliona nishaupita kimo mji nikaamua kwenda Dar ya dunia. New York City.
Mimi Arusha vizazi vyote.. Baba yangu mzazi alishiriki ujenzi wa Sheikh Amri Abeid Stadium miaka ya 70. Anasema wanafunzi wote walishurutishwa kusaidia fundi.
 
While my daughter was attending JKT nilimwombea chuo. Sikupenda UDSM kutokana na life style ya pale, though her pass was good enough.

Niliomba chuo kingine.
Kumbe una mtyomtyo mkubwa! Nipe nimuone, You Know πŸ˜‚ πŸ’•
 
Sikuwahi kuwa na ndoto na hicho chuo na hata nilivyofaulu vzr sijakichagua
 
Kwa nini? Kivipi?
Unakuta watu wazima wamesimama katikati ya barabara za watembea kwa miguu.. hawana habari Wala kujishitukia kua Wana block njia mpaka waambiwe ndio wasogee pembeni.

Mwingine jukumu la kupishana ni la wote wawili unakuta mtu unamkwepa yeye hajitingishi kiasi anakupiga kikumbo..

Unakuta watu Kama wamevurugwa wengine Wana ongea peke yao, nyuso za huzuni, hawana furaha, muda mwingi ni makasiriko Jambo dogo mtu anatukana matusi mazito sio wanaume Wala wanawake.

Conclusion
Kwa watu wasio jitambua Wala kua na consciousness/ awareness kidogo TU ni hasara kwa taifa
 
Combination of Beautiful Girls (CBG) 😁😁

Ila maisha, ukiwa high school mtu anaweka ego ya u_PCM Ila baadae anakuja kutawaliwa na mtu wa HKL

Ni utoto tu na kukosa exposure huwa kunasumbua
Ni utoto kabisa mkuu , halafu PCB wanavyokuja 4m5 kila mtu ndoto yake MUHAS na kupiga makozi makubwa ya afya ila mwisho wa picha wanaamua darasa zima watakaona MUHAS na kozi za afya hawavuki 10 unakuta wengine Wanaishia kozi za kilimo na mifugo SUA , wengine za Uhasibu nk
 
Mie nilipata VYUO viwili, You Know

University of London [UoL] na University of Dodoma [Udom], You Know πŸ™πŸ½

UoL nilitakiwa kwenda March, 2011 na Udom nilitakiwa kwenda November, 2010, so nikaenda Udom πŸ™πŸ½
 
Ulichukua umaamuzi sahihi , Elimu ya Tanzania karibia ngazi zote ni kukariri tu wakati mwingine kusomeshwa vitu visivyokunufaisha.

Hiyo la vifaa duni ni aibu sana , mambo ya practical mtu unafundishwa theoretically Mwalimu anakuwa kama anasimulia muvi "Sodium ikiCombine na Nini inazalisha Fulani yenye Sifa Fulani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…