Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

establishment

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
1,632
Reaction score
2,435
Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi).

Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa.

NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia bomu kama Kaka zenu. Ndoa si lelemama.
 
NB: vijana chukueni tahadhari maije kukumbatia bomu kama Kaka zenu. Ndoa si lelemama.
Kataaa ndoa

Campaign ipo mule mule
#hit and run#🤣🍯🍯
 
Hapo ni lazima utatuambia kua kipindi chenu cha uchumba alikua ni mwanamke mtiifu na mpole sana kwako. So ni wazi amekuja kwako akihitaji tu ile heshima ya ndoa, na ameshaipata. Kwahyo ameshaizoea ndoa na ameona hakuna jipya. Ni point of no return, mkiachana pasu kwa pasu itawahusu na obviously mnufaika mkubwa atakua ni yeye.

Kama nilivyosema, amefata heshima ya ndoa kwako lakini wewe haukua mwanaume wa ndoto zake. Yupo ex wake ambae alitegemea amuoe lkn ilishindikana. Na sasa wameshaanza kukumbushiana ya zamani. Au kuna njemba imemtongoza, kimuonekano na personality amekuzidi. Kwahyo kila unalomsemesha anakuona kero tu (akijaribu kukulinganisha na hayo majamaa)

Lakini pia huenda hautimizi majukumu yako kisawasawa ndani ya nyumba. Anza kijitafakari. Unampekelea moto kisawasawa kama ulivyokua unafanya miaka ya nyuma? Huduma za msingi nyumbani zinapatikana? Kama moto hauwashwi vizuri kama zamani (hii hua inatokea ukimzoea sana mwanamke, na mwanaume umri ukiwa umesogea) basi point ya juu itakua inahusika, yaani amesharudiana na ex au kuna njemba kaipata inamkaza kisawasawa ndio maana anakuletea madharau.

Anyway wamakonde husemaga dawa ya mwananke ni mwananke mwenzake [emoji850].
 
Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi).

Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa.

NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia bomu kama Kaka zenu. Ndoa si lelemama.
Ikiwa wewe uliye ndani umesema hivi sisi ni nani Tupinge.
 
Hapo ni lazima utatuambia kua kipindi chenu cha uchumba alikua ni mwanamke mtiifu na mpole sana kwako. So ni wazi amekuja kwako akihitaji tu ile heshima ya ndoa, na ameshaipata. Kwahyo ameshaizoea ndoa na ameona hakuna jipya. Ni point of no return, mkiachana pasu kwa pasu itawahusu na obviously mnufaika mkubwa atakua ni yeye.

Kama nilivyosema, amefata heshima ya ndoa kwako lakini wewe haukua mwanaume wa ndoto zake. Yupo ex wake ambae alitegemea amuoe lkn ilishindika. Na sasa wameshaanza kukumbushiana ya zamani. Au kuna njemba imemtongoza, kimuonekano na personality amekuzidi. Kwahyo kila unalomsemesha anakuona kero tu (akijaribu kukulinganisha na hayo majamaa)

Lakini pia huenda hautimizi majukumu yako kisawasawa ndani ya nyumba. Anza kijitafakari. Unampekelea moto kisawasawa kama ulivyokua unafanya miaka ya nyuma? Huduma za msingi nyumbani zinapatikana? Kama moto hauwashwi vizuri kama zamani (hii hua inatokea ukimzoea sana mwanamke, na mwanaume umri ukiwa umesogea) basi point ya juu itakua inahusika, yaani amesharudiana na ex au kuna njemba kaipata inamkaza kisawasawa ndio maana anakuletea madharau.

Anyway wamakonde husemaga dawa ya mwananke ni mwananke mwenzake [emoji850].
Pia asili uchangia uenda ni matokeo ya malezi mabovu, binti na mama yake mzazi hawapishani malezi.
Kukazwa wote wanakazwa nje, Hakuna mwanaume mmoja anaeweza mtosheleza mwanamke.
 
Kama mke utampelekea motooo kisawa sawa na hela unampa hana makelele na mumewe. Ila kama mume kimoja chalii na hela hana pole yako🤣🤣
Malaya labda umpelekee moto wa gesi.
SAsa akishakuwa na makelele,madharau maneno makali huo mzuka wa moto utatoka wanawake ndio usababisha wanaume kuishiwa nguvu za kiume kwa ukosefu wa utii.
Utamridhisha mwanamke utaweza?,mbaya zaidi awe na akili ya kingono ngono.
 
Hapo ni lazima utatuambia kua kipindi chenu cha uchumba alikua ni mwanamke mtiifu na mpole sana kwako. So ni wazi amekuja kwako akihitaji tu ile heshima ya ndoa, na ameshaipata. Kwahyo ameshaizoea ndoa na ameona hakuna jipya. Ni point of no return, mkiachana pasu kwa pasu itawahusu na obviously mnufaika mkubwa atakua ni yeye.

Kama nilivyosema, amefata heshima ya ndoa kwako lakini wewe haukua mwanaume wa ndoto zake. Yupo ex wake ambae alitegemea amuoe lkn ilishindika. Na sasa wameshaanza kukumbushiana ya zamani. Au kuna njemba imemtongoza, kimuonekano na personality amekuzidi. Kwahyo kila unalomsemesha anakuona kero tu (akijaribu kukulinganisha na hayo majamaa)

Lakini pia huenda hautimizi majukumu yako kisawasawa ndani ya nyumba. Anza kijitafakari. Unampekelea moto kisawasawa kama ulivyokua unafanya miaka ya nyuma? Huduma za msingi nyumbani zinapatikana? Kama moto hauwashwi vizuri kama zamani (hii hua inatokea ukimzoea sana mwanamke, na mwanaume umri ukiwa umesogea) basi point ya juu itakua inahusika, yaani amesharudiana na ex au kuna njemba kaipata inamkaza kisawasawa ndio maana anakuletea madharau.

Anyway wamakonde husemaga dawa ya mwananke ni mwananke mwenzake [emoji850].
Una akili nyingi sana kongole kwako 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi).

Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa.

NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia bomu kama Kaka zenu. Ndoa si lelemama.
Ni kweli kabisa
 
Mkuu kwanz hongera kwakuon hilo tatzo na wew inaonyesh upo kwenye control yako

Mambo yanawez yakawa hv
Je una nguvu za kiume shughulikia nae sana mfululizo
Je ananyonyesha (yuko na mtoto chin ya mwaka mmoja)
Mpeleke out /mpe zawad
Je kipato chako kimepungua .
Jitahid kuw nae karb kujua nn zaid kinamsibu
Nyumbn kuna kaz nyingi na hakun mtu anamsaidia/ msaidie unapokuw om

Ukifany hayo ndan ya wiki asiporud kweny utulivu bas utakuw shda kubw hiyo
 
Back
Top Bottom