Hapo ni lazima utatuambia kua kipindi chenu cha uchumba alikua ni mwanamke mtiifu na mpole sana kwako. So ni wazi amekuja kwako akihitaji tu ile heshima ya ndoa, na ameshaipata. Kwahyo ameshaizoea ndoa na ameona hakuna jipya. Ni point of no return, mkiachana pasu kwa pasu itawahusu na obviously mnufaika mkubwa atakua ni yeye.
Kama nilivyosema, amefata heshima ya ndoa kwako lakini wewe haukua mwanaume wa ndoto zake. Yupo ex wake ambae alitegemea amuoe lkn ilishindika. Na sasa wameshaanza kukumbushiana ya zamani. Au kuna njemba imemtongoza, kimuonekano na personality amekuzidi. Kwahyo kila unalomsemesha anakuona kero tu (akijaribu kukulinganisha na hayo majamaa)
Lakini pia huenda hautimizi majukumu yako kisawasawa ndani ya nyumba. Anza kijitafakari. Unampekelea moto kisawasawa kama ulivyokua unafanya miaka ya nyuma? Huduma za msingi nyumbani zinapatikana? Kama moto hauwashwi vizuri kama zamani (hii hua inatokea ukimzoea sana mwanamke, na mwanaume umri ukiwa umesogea) basi point ya juu itakua inahusika, yaani amesharudiana na ex au kuna njemba kaipata inamkaza kisawasawa ndio maana anakuletea madharau.
Anyway wamakonde husemaga dawa ya mwananke ni mwananke mwenzake [emoji850].