Its
It's obviously especially since he seems to be one sided .
 
Bora wao wanaotupa misaada hata ya kuchimba matundu ya choo kuliko nyinyi mnaotumia mabilionin ya walipa kodi kununua mashangingi huku mkituhumiwa kuteka na kuuwa raia wasio na hatia kisa tu wanawaambia ukweli msiopenda kuusikia.
 
..Samia Suluhu hana ubavu wa kumfukuza Balozi wa Marekani hapa nchini.

..Raisi aliyekuwa na ubavu wa kupambana na mabeberu ni Mwalimu Nyerere na sio waliomfuatia.
 
Naunga mkono hoja afurushwe ndani ya 24Hrs!
 
Waabudu mfu watakupinga
 
kwa bahati mbaya ubavu huo hatuna. ndio maana ana uhuru hata wa kwenda kupiga soga na sugu mbeya, kwa uhuru wote na hatujui wameongea nini. pia,ndio maana trump alitukana kwamba hizi nchi zetu ni shit hole. hakukosea sana kama tuna watu kama wewe.
 
Ndiyo maana Uzi wako umeunganishwa na mwingine mana unaonekana unajaza saver tu
 
Watu wenyewe ombaomba halafu mnaleta kiburi.
kiukweli samia amekutana na vijana mashababi na wanamvuruga kwelikweli...hotuba za hovyo za kukatisha tamaa kama taifa. mtego huu sijui kama ataugundua.
 
Ndiyo maana Uzi wako umeunganishwa na mwingine mana unaonekana unajaza saver tu
mimi sina tatizo kabisa na kazi za wengine za wengine kama balozi,

na wala sina haja na saver ya mtu yeyote,

ispokua mimi ni kusema ukweli tu ndiyo kazi ya maana nafanya 🐒
 
Tlaatlaah umekula zako chipsi dume ukashiba sasa unajaza server kwa pumba.
mimi sina haja na saver wala kazi ya mtu mwingine kama ndugu balozi,

Mimi ni mtu wa kusema ukweli kuzingatia vigezo na masharti yaliyopo na si vinginevyo..

na ikiwa vinginevyo pia wala siwezi kubabaika wakati tayari ukweli uko wazi jukwaani gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…