Its
It's obviously especially since he seems to be one sided .Kwanza ana chuki na maslahi binafsi na Uongozi wa juu wa kitaifa nchini.
Lakini pia ni mchochea chuki, uhasama na mafarakano baina ya wanasiasa nchini kinyume na majukumu ya kidipomasia alonayo.
Mbaya zaidi,
anashiriki kwa siri siasa na mambo ya ndani ya nchini yetu, na kutoa ufadhili wa hali na mali wenye lengo la kupindua serikali.
Kiufupi amepoteza uhalali wa uwakilishi wa kidipomasia nchini, kwa kukiuka miiko, sheria za kimataifa na ustaarabu wa kazi na majukumu ya kibalozi kulingana na mkataba wa kudiplomasia.
Nashauri wizara ya Mambo ya nje ya nchi, kumchukulia hatua kali mara moja, ikiwa ni pamoja na kumrejesha nchini kwao kwa lazima kwa kushindwa kwake kuwakilisha maslahi ya watu wa marekani Tanzania inavyostahili.
Mungu Ibariki Tanzania![]()