Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

Watu elfu 3 ni wachache sana,kama wako kwenye design please kiwe.na uwezo wa ku host watu elfu 5 Kwa pamoja
 
Arusha ipo AICC, huo uwekezaji ufanyike Dodoma.
Tusifanye kosa kama la kuweka viwanja vya mpira katika eneo moja.
AICC iboreshwe alaf kituo kipya kijengwe mkoa mwingine, Mfano Dodoma
 
#4 na 6 haziwezi ku-coexist na #7. Hakuna taifa la wajinga wanaoweza kulaza rais wao karibu na apartments au shopping malls. Hata sisi watanzania hatujafikia ujinga wa kiasi hicho, japo kuna mambo tunafanya yanayoashiria kuwa tumekaribia.
 
Kwani yeye ni Rais wa Zanzibar,ndio maana tunasema nyie ni majinga ngoja mfundishwe kazi.
Kwani maendeleo yanaletwa na rais? Huu ujinga ulioanzishwa awamu ya tano, naona na nyie mmeubeba kama ulivyo eti fedha za rais! Kama mna ujinga huo maendeleo mtayaweza?
 
Kwani maendeleo yanaletwa na rais? Huu ujinga ulioanzishwa awamu ya tano, naona na nyie mmeubeba kama ulivyo eti fedha za rais! Kama mna ujinga huo maendeleo mtayaweza?
Maendelea yanaletwa na maono ya Rais,hata wewe familia Yako Ukiwa zoba itadumaa..

Toka Samia Kawa Rais biashara ya Conference Tourism imerejea Kwa Kasi sana lakini hapo awali hakuna mtu Alitaka kuja Tanzania..

Juzi tuu hapo alikuwa anafungua mkutano wa Sadc na Kilimo,mwezi November Kuna mkutano mkubwa wa Mifumo ya chakula,mwezi August Kuna mkutano mkubwa wa madaktari all over the world nknk..

Wacha Samia awafundishe kazi nyie wajinga wajinga ndio jitambua.
 
Nimecheka kwa nguvu, kwahiyo hapo ulipo unasubiri maono ya Samia ili upate maendeleo? Daah, nimechoka kabisa.

Hiyo mikutano ipo miaka yote, labda ndio umemaliza shule ya msingi hivi karibuni, hivyo unadhani hayo ni mambo mapya.
 
Mikutano ... ya nini?
 
Mimi as individual sisubiri maoni yake ila Yale yanayohitaji Serikali ni mpaka maono yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…