Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

Haya yanapaswa kufanywa na sekiya binafisi na sio.Serikali, kama hadi nyakati hizi Serikali inajenga Hoteli na.kumbi za mikutano ni too bad
 
Huyu mama huyu,,, Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu na moyo wa kijasiri zaidi usiokata tamaa mapema ili aendelee kutuhudumia na kutuletea maendeleo watoto wake!!!!
Nchi ina idadi kubwa sana ya Vilaza, Tafuta Serikali hata moja Duniani inayo jenga Mahoteli na Majengo ya mikutano, nitafutie hata moja tu
 
Chino wan man.

Sijui kwanini sionagi utofauti wa Arusha na KLM. Nawaona wote sawa...
Hujafika maeneo hayo, tofauti ni kubwa sana, we umeshasikia mkutano wa kimataifa umefanyika mji wa Moshi, Hiyo ni miji miwili tofauti kabisa hata kwa hali ya hewa.
 
Nchi ina idadi kubwa sana ya Vilaza, Tafuta Serikali hata moja Duniani inayo jenga Mahoteli na Majengo ya mikutano, nitafutie hata moja tu
Wajengaji wakubwa wa hayo mahoteli bila shaka ni wazungu au waarabu......tena nafikiri waarabu ni zaidi. Sasa wakiletwa si mnapiga kelele hamuwataki hao mnawataka wengine
 
Jambo gani jema? Serilali kujenha Mahoteli? Huu ni ujinga na wanafanya kwa.sababu wanajua Watanzania ni wajinga sana, Hii ni kazi ya Private Sector na sio Serikali,
Nchi ina idadi kubwa sana ya Vilaza, Tafuta Serikali hata moja Duniani inayo jenga Mahoteli na Majengo ya mikutano, nitafutie hata moja tu
Una akili sana mkuu, pia nashangaa sana sema nchi kweli ina wajinga wengi sana
 
Mount Kilimanjaro halafu mnakijengea Arusha, kwanini isiwe Mount Meru Convention Center?
Kwani kuna mtu ana hati miliki ya hilo jina, mbona Kilimanjaro Hotel iko Dar. Haya majina ni ya kitaifa, unaweza kujenga Ngorongoro Hotel Mbeya. Nchi ni moja hayo ni majina ya vivutio vya nchi, Acheni maubaguzi ya kipuuzi.
 
Mradi ya kingese hii how come Serikali ijenge Mulls na Mahoteli? Nitafutie Dunia nzima Serilali inayo fanya ujinga wa aina hii
Hizi ni project za kutafutia sifa pia wanajua sisi watanzania tunapenda starehe sana ndio maana. Wananchi wanaisha kwa umasikini huko vijijini wao wanawekeza kwenye maduka huwezi wakauta kwenye project za kupunguza uamsikini kuna day watakuja na Project za Baa za Serilali na kawa tutashangilia.
 
Serikli.badala ijikite kupunguza umasikini huko vijijini wao wanakimbizana na miradi ya kutafuta Milestone kwa Taifa la wajinga.
 
we una uwezo wa kwenda kulala hiyo hoteli. Hoteli ni kwa ajili ya biashara na shughuli za kimataifa
 
acheni kubaka mkoa wetu sisi tunahitaji pia kuwa hub ya tourism sio kila kitu arusha kwanini misiweke hii mikoa miwili kimkakati? uwanja tunao tunashusha watalii mlima tuao na mbuga pia kama wao ilihali wao hawana uwanja mkubwa wa ndege kwanini mnadumaza mkowa wetu kilimanjaro maksudi?
 
Chino wan man.

Sijui kwanini sionagi utofauti wa Arusha na KLM. Nawaona wote sawa...
bt mikoa hio ni kama mkoa mmoja wanatakiwa kuifanya kanda ya kitalii kimkakati nasio moja inyanyuke moja idumae ukitafiti hali za hewa zinakaribiana kitu wageni wanapendelea sana nchi imelala hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…