Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

Ongeza na Russia kabla haijazulumiwa $300 bilioni na nchi za magharibi.
 
Unadhani haelewi haya!? Binafsi sidhani.
Probably uwezo wake wa uelewa ni mdogo sana, hata common logic of reasoning kwake ni utata. There are two possibilities, he is either deliberately trying to deceive us for whatever the reasons probably directed to do that or he has zero knowledge on finances and economy.
 
as i said umeegemea kutuma screenshot so hutaelewa because your here trying to prove something
 
Kwahiyo makusanyo ya utalii na mauzo ya dhahabu hayamuhusu mwanainch au siyo hapo nimetambua sasa kumbe ukiiuza dhahabu kama mwanainch kumbe kodi haikatwi ni Free free au sio
unaelewa nn kuhusu kodi
 
Wakuu nipeni fimbo ya mpera alafu woooote rudini nyuma huyu mleta uzi ni mlamba asali wa viwango vikubwa vikubwa huyu
 
but unajua unaongea na mtu ambae aashapita BOT?
 
Dont be so confident when you explain something your only understand theoretically, on the other side i am happy you did choose to continue being ignorant so that you wont understand economics completely, there is a reason for that
 
Mkuu unapotosha Serikali kupitia B.O.T hupata pesa kupitia kodi na tozo kutoka kwenye shughuli za uchumi(bidhaa na huduma).Serikali huzitunza fedha hizo B.O.T.

Unapouza bidhaa nje ya nchi utalipwa kwa USD,ukirudi Tanzania huwezi kutumia USD kufanya shughuli zako utahitaji Tshs,na hapo ndio utahitaji B.O.T au commercial bank kupata hayo madafu.

Hiyo USD yako uliyokuja nayo kutoka huko ulipokwenda kuuza hiyo bidhaa,pamoja na USD zingine zingine walizo lipa watalii ili wapate tshs zitajumuishwa na kutunzwa B.O.T na hii ndio tafsiri ya akiba ya fedha ya kigeni.

Serikali ikitaka kufanya expenditure itatumia hiyo akiba ya USD kufanya manunuzi nje,kumbuka hiyo akiba imetokana na exchange ya tshs & USD iliyotokana na kodi na tozo zilizolipwa

So,Issue ni kuwa ili B.O.T akupe tshs wewe utakapo leta hizo USD zako,ni lazima awe na hizo tshs na anazipata kupitia kodi na too mbalimbali.
 
Hiyo hela ya kufanya hiyo project ww kama Serikali utaoitoa wapi?? bila kodi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…