KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

IIa lazima tukubaliane kuwa Doyasisi ya mashariki na Pwani chini ya Mwalasusa ina matatizo mengi sana miaka yote!

'Saa ya ukombozi ni sasa': By Mch. Hananje
Hananja , alikuwa mchungaji mswahili mswahili asiye na maono wala utaratibu.
Ukimuweka vibaraza vya Kariakoo hspo amefika.
 
Be blessed
 
Unadhani uaskofu unagombewa kama ubunge au udiwani au wewe unautaka ukagombee !!!
Umaarufu wa usharikani kwako ndo ukufanye ufae kuwa Askofu!!
Unafikiri KKKT ni sawa na pentenkoste kama la marehemu Askofu Kulola ambaye alivyoona ana karama kumzidi Askofu aliyekuwepo naye akajipa uaskofu mpaka mahakama ikawatenganisha.
Tuna utaratibu tofauti sana na ukionekana unautaka ndo huupati.
 
Huu ndiyo upotoshaji wenyewe.Kumbuka Peter na Yohana hawakuwa na contract ya kazi na hilo kanisa, hivyo hawakuwa na cha kuwafanya.Usipofuata taratibu za muajiri wako wewe ni mkosaji,ukiendelea kubisha bisha unapigwa chini na unakuwa huna pa kushitaki.Ukiona unabanwa unatafuta muajiri mwingine tena,mwingine tena na mwingine tena.
ukileta uanaharakati na ushabiki,utapata taabu saana.

By the way hatujui hata mkataba wake wa kazi una masharti gani.Ni siri yake yeye na muajiri wake.

Narudia kusema,ukiona kazi za kuajiliwa zinasumbua anzisha ujasiria mali kama wenzako.ukikubali kuajiliwa lazima ufuate masharti ya ajira uliyoyakubali wakati unapewa kazi FULL STOP.
 
Natamani hata Marehemu Askofu Stefano Rubeni Moshi asingeunganisha hili kanisa.

Kila watu wangebaki kwao
This is too low for Mamndenyi. Unaombea utengano? Serious? Kisa tu Kimaro kuondolewa Kijitonyama? Inamaana KKKT nzima ni Kimaro tu anayefaa kuwa mchungaji wa Kijitonyama? Mbona wataka kudhalilisha kanisa la KKKT kiasi hiki. Kwani huko atakapopelekwa hakuna watu wanohitaji huduma yake kama ninyi? Tusemeje basi? Ninyi ni wabinafsi sio? Ningekuwa Askofu wa KKKT ningepiga marufuku mahubiri kupitia accounts binafsi za youtube na digital platforms. Wachungaji wengi huzitumia kujitengenezea umaarufu binafsi kuliko taasisi wanayoisimamia, na hivyo kusababisha migogoro isiyo na tija.
 
Sababu zilizojificha ndio zipi hizo, mtu kuongea ukweli ndio ujuaji? Pathetic Tanzanians like you deserve to be bombed.
Ukishakuwa muhubiri injili, mashindano na wanadamu wenzio hayatakiwi, vinginevyo utashindana kama una lako jambo.

Kwanini sifa za mashabiki wako zikuvimbishe kichwa ujione super star..!!
 
Ubinafsi, jeuri na kipato binafsi ndivyo vinavyomsumbua Kimaro.
Anaitumia karama yake vibaya.
Akiona anazongwa, akawe Yohana mbatizaji nyikani, tutamsikia tu.
 
Hivi Yesu alikuja duniani kuanzisha taasisi za namna hiyo? Haya tuje upande wa biashara, Kimaro aliwapiga nyundo wakubwa waliotaka kugawana Mali ya kanisa. Hana kosa ila ni mpigania haki. Namkumbusha Kimaro kuwa "ukweli unaua" hayo ndio matokeo yake.
 
Kikubwa kuliko mtu ni KKKT au ni WAUMINI?
 
Kabisa!
 
Kiburi Siyo mungu.watumishi Wengi wana Kiburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…