residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Na hilo ndilo lilivyo kwa huyu na yule wa Kimara na Mch. Richard H.Inawezekana sasa haya makanisa yameanza kutumiwa na wachungaji kama vijiwe vya kutafuta umaarufu ili wajipatie wafuasi, siku wakitoka nje ya hapo wahame na wafuasi wao waende kwenye makanisa watakayoanzisha..
Waumini wanatumika bila kujua dhamira za ndani za hao wachungaji, kwasababu kama nia ya mchungaji ni kuihubiri injili, ujuaji hauwezi kupata nafasi mahala hapo, lakini kama mtu ana sababu zake zilizojificha, lazima awe mjuaji ili mwisho wa siku atimize malengo yake.