Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
Barua inaonyesha wamefungiwa kufanya Usajili wa wachezaji wa ndani...tuendelee kula shushuu wakiwa wanasajili majembe ya nje...
Sio kwamba FIFA wamewafungia usajili halafu TFF wakakazia? Soma tena barua.
 
Sasa Rasmi vita Imeanza..
Iliwahi kusemwa Usirushe mawe kama Unakaa Kwenye Nyumba ya Kioo
20240412_130124.jpg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.View attachment 2961481View attachment 2961482
Wewe utakuwa unatoka SENGE-Rema
 
Barua inaonyesha wamefungiwa kufanya Usajili wa wachezaji wa ndani...tuendelee kula shushuu wakiwa wanasajili majembe ya nje...
Ficha ujinga wako FIFA inafungia kusajili wachezaji wa ndani?FIFA inafungia kusajili wachezaji wa nje na TFF kwa hatua ya FIFA ikaongezea kuwa inawafungia kusajili wachezaji wa ndani.
Mlienda shule kuuza mabuyu?
 
Ficha ujinga wako FIFA inafungia kusajili wachezaji wa ndani?FIFA inafungia kusajili wachezaji wa nje na TFF kwa hatua ya FIFA ikaongezea kuwa inawafungia kusajili wachezaji wa ndani.
Mlienda shule kuuza mabuyu?

Leta Barua ya FIFA hapa tunaongelea facts zilizoko mezani
 
Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).

Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo.

Pamoja na masuala mengine, Young Africans haikuingiza uthibitisho wa malipo ya uhamisho wa mchezaji husika katika Mfumo wa Usajili (TMS), licha ya kukumbushwa kufanya hivyo.

Klabu hiyo imetakiwa kutekeleza matakwa hayo ya kikanuni, na kuwasilisha taarifa kwa Sekretarieti ya Kamati ya Nidhamu ya FIFA ambapo suala hilo limefikishwa kwa ajili ya hatua zaidi.

Kutokana na uamuzi huo wa FIFA, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungia klabu hiyo kufanya usajili kwa wachezaji wa ndani.


====
Pia soma

1.
Yanga yafungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana
Huyo alishalipwa, kinavhokosekana ni taarifa kwenye mfimo na hizo ziliachwa makusudi ili mpate cha kuongea maisha yasonge.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.View attachment 2961481View attachment 2961482
Hapa wataisahau team yao watasimamia hili jamboo weee halafu tarehe 20 wanapigwa mkono tena.
 
Klabu ya Young Africans Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).

Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo.

Pamoja na masuala mengine, Young Africans haikuingiza uthibitisho wa malipo ya uhamisho wa mchezaji husika katika mfumo wa Usajili (TMS), licha ya kukumbushwa kufanya hivyo.

Klabu hiyo imetakiwa kutekeleza matakwa hayo ya haraka, na kuwasilisha taarifa kwa Kamati ya Kamati ya Nidhamu ya FIFA ambapo suala hilo limefikishwa kwa ajili ya hatua zaidi.

Kutokana na kichwa huo wa FIFA, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungia klabu hiyo kufanya usajili kwa wachezaji ndani.


====
Pia soma

1.
Yanga yafungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana
Haiwezekani Yanga yenye Viongozi Bora, makini , kuliko viongozi wote duniani kufungiwa kisa kuto mweka mchezaji kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom