Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
Barua inaonyesha wamefungiwa kufanya Usajili wa wachezaji wa ndani...tuendelee kula shushuu wakiwa wanasajili majembe ya nje...
Umesoma hiyo taarifa au ndo umekurupuka na chu.pi mkononi
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).

Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo.

Pamoja na masuala mengine, Young Africans haikuingiza uthibitisho wa malipo ya uhamisho wa mchezaji husika katika Mfumo wa Usajili (TMS), licha ya kukumbushwa kufanya hivyo.

Klabu hiyo imetakiwa kutekeleza matakwa hayo ya kikanuni, na kuwasilisha taarifa kwa Sekretarieti ya Kamati ya Nidhamu ya FIFA ambapo suala hilo limefikishwa kwa ajili ya hatua zaidi.

Kutokana na uamuzi huo wa FIFA, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungia klabu hiyo kufanya usajili kwa wachezaji wa ndani.


====
Pia soma

1.
Yanga yafungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana
Ili lingetokea Simba ungesikia redio zote wanachambua
 
Barua haijakamilika tunataka jina la mchezaji chap nasisi tumwage mboga, hii ndo dawa kujifanya ya wajuaji sana....
 
🔵 Siku zote usijifanye kiherehere kumshtaki boss wako kwenye mikutano ya hadhara au kikao Cha ndani kinachomhusisha boss mkubwa zaidi ya boss wako

🔵Utashangiliwa na hadhira iliyopo pale na hata yule boss Mgeni aliyekuja atakusifu kinafiki kwa kufungua kwa niaba ya wengine

🔵 Kumbuka maboss huwa hawatupani. Yawezekana nje ya boss ni mabest Wana michongo mingi ya pamoja

🔵 Baada ya kikao hicho utaziona kazi ngumu maana utategeshewa mitego ya hatari siku ukiingia king " You are fired"

🔹Sasa YANGA 🇹🇿 wamebandika barua ya kumchoma Rais wa CAF unadhani FIFA watafirahi Moja ya kijana wao mnyenyekevu atafurahi?

🎵 Cha kwanza ni FIFA kumteua yule refa aiyewatafuna YANGA kuchezesha mechi kubwa zaidi. Unadhani FIFA hazijui kilichotokea south kuwa YANGA wanamlalamikia? Yanga hawajiongezi tuu kuwa malalamiko Yao ni trash?

🎵Haya ni kwa nini fail la YANGA la kusajili kimagumashi wachezaji wa ndani liitishwe Leo na wakati ni suala la siku zote na kwa timu zote,?

😄 Sio Kila kitu ni kuandika barua au kulalamika. Kiherehere kimewaponza. Bado mengine yanafukuliwa ili viongozi vijana wajue msemo huu wa leadership*NEVER ARGUE WITH YOUR BOSS*
 
[emoji838] Siku zote usijifanye kiherehere kumshtaki boss wako kwenye mikutano ya hadhara au kikao Cha ndani kinachomhusisha boss mkubwa zaidi ya boss wako

[emoji838]Utashangiliwa na hadhira iliyopo pale na hata yule boss Mgeni aliyekuja atakusifu kinafiki kwa kufungua kwa niaba ya wengine

[emoji838] Kumbuka maboss huwa hawatupani. Yawezekana nje ya boss ni mabest Wana michongo mingi ya pamoja

[emoji838] Baada ya kikao hicho utaziona kazi ngumu maana utategeshewa mitego ya hatari siku ukiingia king " You are fired"

[emoji843]Sasa YANGA [emoji1241] wamebandika barua ya kumchoma Rais wa CAF unadhani FIFA watafirahi Moja ya kijana wao mnyenyekevu atafurahi?

[emoji444] Cha kwanza ni FIFA kumteua yule refa aiyewatafuna YANGA kuchezesha mechi kubwa zaidi. Unadhani FIFA hazijui kilichotokea south kuwa YANGA wanamlalamikia? Yanga hawajiongezi tuu kuwa malalamiko Yao ni trash?

[emoji444]Haya ni kwa nini fail la YANGA la kusajili kimagumashi wachezaji wa ndani liitishwe Leo na wakati ni suala la siku zote na kwa timu zote,?

[emoji1] Sio Kila kitu ni kuandika barua au kulalamika. Kiherehere kimewaponza. Bado mengine yanafukuliwa ili viongozi vijana wajue msemo huu wa leadership*NEVER ARGUE WITH YOUR BOSS*
Umbea FC
JamiiForums-1831482382.jpg
 
Back
Top Bottom