Barua inaonyesha wamefungiwa kufanya Usajili wa wachezaji wa ndani...tuendelee kula shushuu wakiwa wanasajili majembe ya nje...
Umesoma hiyo taarifa au ndo umekurupuka na chu.pi mkononi
 
Reactions: BRN
Mpaka sasa hivi hilo jina la huyo mchezaji halijatajwa
 
Ili lingetokea Simba ungesikia redio zote wanachambua
 
Barua haijakamilika tunataka jina la mchezaji chap nasisi tumwage mboga, hii ndo dawa kujifanya ya wajuaji sana....
 
🔵 Siku zote usijifanye kiherehere kumshtaki boss wako kwenye mikutano ya hadhara au kikao Cha ndani kinachomhusisha boss mkubwa zaidi ya boss wako

🔵Utashangiliwa na hadhira iliyopo pale na hata yule boss Mgeni aliyekuja atakusifu kinafiki kwa kufungua kwa niaba ya wengine

🔵 Kumbuka maboss huwa hawatupani. Yawezekana nje ya boss ni mabest Wana michongo mingi ya pamoja

🔵 Baada ya kikao hicho utaziona kazi ngumu maana utategeshewa mitego ya hatari siku ukiingia king " You are fired"

🔹Sasa YANGA 🇹🇿 wamebandika barua ya kumchoma Rais wa CAF unadhani FIFA watafirahi Moja ya kijana wao mnyenyekevu atafurahi?

🎵 Cha kwanza ni FIFA kumteua yule refa aiyewatafuna YANGA kuchezesha mechi kubwa zaidi. Unadhani FIFA hazijui kilichotokea south kuwa YANGA wanamlalamikia? Yanga hawajiongezi tuu kuwa malalamiko Yao ni trash?

🎵Haya ni kwa nini fail la YANGA la kusajili kimagumashi wachezaji wa ndani liitishwe Leo na wakati ni suala la siku zote na kwa timu zote,?

😄 Sio Kila kitu ni kuandika barua au kulalamika. Kiherehere kimewaponza. Bado mengine yanafukuliwa ili viongozi vijana wajue msemo huu wa leadership*NEVER ARGUE WITH YOUR BOSS*
 
Umbea FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…