Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Ukiona Papa kadakwa jua kuna wengi wamejua dili na ni shinikizo kutoka juu, ambaye wa juu naye kashinikizwa na cartel pinzani
Wala..cambiasso dealer mkubwa
Ashaenda jela mara 2 ujue,na alitoka yeye ametusua wenzake wamenyoaaa
Cambiasso Ana hela na Ana watu
Sema kamata ya sahv inaonekana ni order maalum ndomana unasikia wazee walikataaa hela,walipoenda kuwakqmata
Na huyu jamaa alivutwa alifanya biashara kubwa na wazee wa kazi
Akapewa hela ndefu,pesa ya moto
Kumbe unavutwa,biashara ya 2 akajaa
Mwenyewe

Ova
 
Wala..cambiasso dealer mkubwa
Ashaenda jela mara 2 ujue,na alitoka yeye ametusua wenzake wamenyoaaa
Cambiasso Ana hela na Ana watu
Sema kamata ya sahv inaonekana ni order maalum ndomana unasikia wazee walikataaa hela,walipoenda kuwakqmata
Na huyu jamaa alivutwa alifanya biashara kubwa na wazee wa kazi
Akapewa hela ndefu,pesa ya moto
Kumbe unavutwa,biashara ya 2 akajaa
Mwenyewe

Ova
Samia kaamua kuua mitandao
 
Siyo kwamba walichanua kipindi cha msoga gang.....
Ndio muda huo huo.
Ni sawa na Lake Oil story yake haijakaa sawa, pamoja na kwamba Baba yake ni tajiri ila story yake kuanzia 2006 imejaa kona kona nyingi
 
Ila ukiona hivyo jua kuna wengine wanaingia kupiga kazi...
Ili uuze madawa lazima serikali ihusike na ikubali
Yah ni mfumo ambao upo na hauwezi isha,akitoka huyu anaingia huyu
Ila kwa sasa bongo ungainly kidogo umeadimika.....

Ova
 
Kati ya watuhumiwa tisa wa madawa ya kulevya waliokamatwa jana, nane ni wafuasi wa imani ya kiisilamu. Sijajua kama kuna uhusiano au ni coincidence tu.


1668591923879.png
 
Back
Top Bottom