Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Hivi inakuwaje kuwa ngumu kuacha?
kwanza mzeya wewe niambie biashara gani unaweza fanya halali ambayo in faida 500%
pili ukitaka kwenda clean wana ulikuwa unapiga nao madeal wanaogopa kuwa utawachoma hence life lako lipo hatarini
 
Hamna kitu hapo...
Picha limechezwa na utupolo....
Subiri series kwenye Netflix...
 
Kabisa kama yule jamaa alikuwa anaitwa suma,aliuwawa kwa kupigwa risasi mitaa ya ilala akiwa ndani ya range,kwenye foleni walipita wazee wakiwa kwenye pikipiki wakampiga risasi za kutosha,pembeni alikuwa dem wake...ila hiyo dhuluma ilikuwa inahusika
Ila nlishangaa habari hiyo haikupewa promoo sana na media zetu

Ova
Lini hii

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Lakini kwa Simba viongozi wao kufanya hivi siyo ajabu, Marko Masanja mpaka Leo yupo jela China huko
Mzee usijisahaulishe,cheki hii[emoji116][emoji116]
IMG-20221115-WA0047.jpg


Kwa hiyo kaa kwa kutulia,tena tulia kweli.
 
Hii biashara inafanywa kwa siri siri na wajanja wanaopenda kudanganya kwa kufungua container za biashara wakijiita wafanyabiashara. Kumbe wauza unga. Kuna dada maarufu mpaka leo amekwama na mmewe. Alikuwa ndio mwalimu wetu wa kuweka elfu 10 kwa siku kwenye masanduku ya bati, ili tule Xmass
Yule mtu na mkewe, sijui a anaitwa Nani vile, wapo lupango wananyea ndoo
 
moja ya biashara chafu zinazofanyika kwenye mpira wa miguu ni HII BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA(DRUGS), YA PILI NI HUMAN TRAFFICKING, YA TATU NI GAMBLING, YA NNE NI MONEY LAUNDERING, YA TANO NI MATCH FIXING.. NOTE: Hii biashara ya tano vilabu vyote vya kibongo inaitumia japo inategemea na mfuko wa timu husika ilikuwa Uto msimu wote uliopita wamekuja kuacha kuanzia mechi ya Kagera..
Hii "match fixing" ndiyo kupika matokeo au ni nini hasa?
 
1. Pesa huwa na sifa ya kuwa 'Chache' kadiri unavyoipata.
2. Kwa kuwa tayari umeingia katika biashara umeshakutana na watu wengi na umekwisha fahamu siri nyingi za watu wanaojihusiaha na biashara hii haramu ukiamua kuacha unageuka kuwa Tishio (Threat) kwa wale waliobakia, wanaweza kukuhisi labda ulikua informer hivyo wanaweza kuhakikisha wanatoa uhai wako ili siri zao zibaki salama, kwa hiyo ili uendelee kubaki salama ni lazima uendelee kuwa sehemu yao, vinginevyo utokomee kusikojulikana
Kama queen of the south
 
To keep the bills..

Hivi unadhani kuna mwenye hela halali anaweza haribu hela kwa kugawa gawa?
Mfano wale jamaa wa gsm wanavyogawa gawa zile hela unadhani ni halali?
Those guys makes a lot of money..
Sijui sehemu nyingine ila kwenye upande wa shipping nina tolea mizigo kwao..
Almost every day kuna kontena za kutosha zinashusha mzigo....
Na zile lori za logistic...
Nafikiri wana mishe nyingi za kupiga ela ndefu.
So 10M 50M ni tone la damu baharin
(Ila sijawah sikia baresa anagawa ela)
 
Back
Top Bottom