Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mshahara 6 Mil na bado maisha yako ya tabu? Wazee nyie mnaishi Mykonos, Malaysia au hii hii TZ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana! Ila kwa bahati mbaya hawa watakua wametolewa sadaka tu ila kuna wengi nyuma yaoUkizoea vya kunyonga vya kuchinja huwezi
Kweli hizi biashara zina chain.....Hatari sana! Ila kwa bahati mbaya hawa watakua wametolewa sadaka tu ila kuna wengi nyuma yao
Na biznec hiyo ilivyo mpaka mtu anadakwa ujue kuna mahala kazingua sio kama hawawajuiKweli hizi biashara zina chain.....
Ogopa sana hawa wadosi aka mapaka wanaomiliki
Yard za magari bongo ....
Ova
Huna adabu🤣🤣😂Africa hii ukiwa tajiri ufungwi utalipa faini tu ..kufungwa ulaya uko au asia lakini siyo uku..DPP anaamka asubuhi anakuta kwenye account yake amewekewa bilion 5 ikisindikizwa na txt utakunywa supu mzee kwa hii asubuhi[emoji3][emoji3] kesi amna apo afungwi mtu
Hafu lela hulela hii [emoji1783][emoji857][emoji41]Huna adabu[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Sawa naibu waziri kasikia na karidhia!!!Hkn kitu Kam hcho yaani iko hvyo tu kuwa Kama ushaidi upo bas safari hi watafungwa tu na kuhukumiwaa ushaidi upo
Hii biz naona ukiingia ngumu kutoka kwanza kama wanavyosema ni ya pesa mingi ukijaribu nyingine unaona kama hazilipiWazee wa " get rich or die trying " hivi kama hawa walikua wamesha toboa kabisa kwanini wasinge vunga, new generation wa take gape!!? Wana ng'ang'ana weee mpaka wanapoteza vyote
NomaHii biz naona ukiingia ngumu kutoka kwanza kama wanavyosema ni ya pesa mingi ukijaribu nyingine unaona kama hazilipi
Mjini mipango, tena hawa baadae wanakua motivational wetuDuuh! Saa ingine unaweza shangaa huyu mtu mbona ana mafanikio tena yale makubwa ambayo ameyapata kwa muda mfupi kumbe yamegubikwa na ujanja ujanja tu, siku yakifurumuka ndio inakuwa kama hivi.
Hii biashara ina mambo kadhaa ukiingia ukifanya lazima utakuna nayoNa biznec hiyo ilivyo mpaka mtu anadakwa ujue kuna mahala kazingua sio kama hawawajui
Na ukiingia tamaa tu wamekutoa sadakaHii biashara ina mambo kadhaa ukiingia ukifanya lazima utakuna nayo
1)wewe au familia yako kuingia kwenye utumiaji
2)jela
3)kifo
Inshort hii biashara ina laana
Ova
Kabisa kama yule jamaa alikuwa anaitwa suma,aliuwawa kwa kupigwa risasi mitaa ya ilala akiwa ndani ya range,kwenye foleni walipita wazee wakiwa kwenye pikipiki wakampiga risasi za kutosha,pembeni alikuwa dem wake...ila hiyo dhuluma ilikuwa inahusikaNa ukiingia tamaa tu wamekutoa sadaka
😂😂Biashara halali huwa hazilipi ukilinganisha na biashara haramu. Ni vigumu kuacha biashara yenye faida mara 50 mpaka 100 ya hela uliyowekeza 😂😂😂
Ni sawasawa na inavyokuwa vigumu kuachana na demu pisikali mwenye tako na k tamu sana anayekupa k yake muda wowote unaotaka bila longolongo. Nadhani utaelewa 😂😂
Hivi inakuwaje kuwa ngumu kuacha?Sio rahisi kuacha hii biashara
1. Pesa huwa na sifa ya kuwa 'Chache' kadiri unavyoipata.Hivi inakuwaje kuwa ngumu kuacha?