Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Simba sc na Ngada
 

Attachments

  • FdrzLydXkBwqlFA.jpeg
    FdrzLydXkBwqlFA.jpeg
    31.3 KB · Views: 4
Mkuu mshahara 6 Mil na bado maisha yako ya tabu? Wazee nyie mnaishi Mykonos, Malaysia au hii hii TZ?

Sent using Jamii Forums mobile app

more money mo problem mkuu.

ukiwa hauna unapanga mipango mingi sana ila ukizishika sasa, mipango yote inayeyuka zinaibuka shida zinazokomba hela zote na kukuacha empty set.

kadili kipato kinavyoongezeka ndio ambavyo standard ya kuishi inavyobadirika pia, na ndio ambavyo pia unafikiria biashara kubwa ili kuongeza kipato zaidi..

ukiwa na income ya 6mil/month huwezi kufikiria kununua kiwanja cha 2mil halafu ujenge nyumba ya 30mil hapo lazima ufikirie kununua ardhi Goba/Madale/Bunju nk kwa gharama ya kuanzia 20mil ili ukae kwenye Low density au medium density, utafikiria standard ya nyumba ya kisasa na kila decoration ya kisasa at the end unajikuta 6mil nayo haitoshi na utaanza kufikiria kipato cha 10mil/month (ni hulka tu ya mwanadamu kutoridhika)
 
Africa hii ukiwa tajiri ufungwi utalipa faini tu ..kufungwa ulaya uko au asia lakini siyo uku..DPP anaamka asubuhi anakuta kwenye account yake amewekewa bilion 5 ikisindikizwa na txt utakunywa supu mzee kwa hii asubuhi[emoji3][emoji3] kesi amna apo afungwi mtu
Huna adabu🤣🤣😂
 
Wazee wa " get rich or die trying " hivi kama hawa walikua wamesha toboa kabisa kwanini wasinge vunga, new generation wa take gape!!? Wana ng'ang'ana weee mpaka wanapoteza vyote
Hii biz naona ukiingia ngumu kutoka kwanza kama wanavyosema ni ya pesa mingi ukijaribu nyingine unaona kama hazilipi
 
Duuh! Saa ingine unaweza shangaa huyu mtu mbona ana mafanikio tena yale makubwa ambayo ameyapata kwa muda mfupi kumbe yamegubikwa na ujanja ujanja tu, siku yakifurumuka ndio inakuwa kama hivi.
Mjini mipango, tena hawa baadae wanakua motivational wetu
 
Alhaji mzima, ukarudi kwenye madawa tena? Kweli kazi na iendeleye!!
 
Na biznec hiyo ilivyo mpaka mtu anadakwa ujue kuna mahala kazingua sio kama hawawajui
Hii biashara ina mambo kadhaa ukiingia ukifanya lazima utakuna nayo
1)wewe au familia yako kuingia kwenye utumiaji
2)jela
3)kifo

Inshort hii biashara ina laana

Ova
 
Hii biashara ina mambo kadhaa ukiingia ukifanya lazima utakuna nayo
1)wewe au familia yako kuingia kwenye utumiaji
2)jela
3)kifo

Inshort hii biashara ina laana

Ova
Na ukiingia tamaa tu wamekutoa sadaka
 
Na ukiingia tamaa tu wamekutoa sadaka
Kabisa kama yule jamaa alikuwa anaitwa suma,aliuwawa kwa kupigwa risasi mitaa ya ilala akiwa ndani ya range,kwenye foleni walipita wazee wakiwa kwenye pikipiki wakampiga risasi za kutosha,pembeni alikuwa dem wake...ila hiyo dhuluma ilikuwa inahusika
Ila nlishangaa habari hiyo haikupewa promoo sana na media zetu

Ova
 
Biashara halali huwa hazilipi ukilinganisha na biashara haramu. Ni vigumu kuacha biashara yenye faida mara 50 mpaka 100 ya hela uliyowekeza 😂😂😂


Ni sawasawa na inavyokuwa vigumu kuachana na demu pisikali mwenye tako na k tamu sana anayekupa k yake muda wowote unaotaka bila longolongo. Nadhani utaelewa 😂😂
😂😂
 
Hivi inakuwaje kuwa ngumu kuacha?
1. Pesa huwa na sifa ya kuwa 'Chache' kadiri unavyoipata.
2. Kwa kuwa tayari umeingia katika biashara umeshakutana na watu wengi na umekwisha fahamu siri nyingi za watu wanaojihusiaha na biashara hii haramu ukiamua kuacha unageuka kuwa Tishio (Threat) kwa wale waliobakia, wanaweza kukuhisi labda ulikua informer hivyo wanaweza kuhakikisha wanatoa uhai wako ili siri zao zibaki salama, kwa hiyo ili uendelee kubaki salama ni lazima uendelee kuwa sehemu yao, vinginevyo utokomee kusikojulikana
 
Back
Top Bottom